Sabra said
Member
- Jun 28, 2014
- 49
- 9
Toa specifications
Tablet haina ya samsung galaxy inauzwa ni used imenunuliwa tarehe 7 feb 2015 bado mpya lisit ipo imesajiriwa na ina warranty miaka 2 bei ni laki 4 kwa maelezo zaidi ni what's up 0659-991891 karbuni sana.
Weka specification zote muhimu...pia mpya dukani ni 380 second hand iwe 400? Weka sawa bei pia