Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,069
- 34,839
[SIZE=+2]Tabia za Watanga[/SIZE]
Leo nachukua Tanga, kama fumbo jamiini,
Kuwaeleza Watanga, TABIA zao nchinini,
Tanga watu wa kuringa, hasa kwa kujua dini,
Ukitaka uishi nao, jifunye wewe mjinga.
Tanga bwana kwa mamwinyi, karahaatake nani,
Tanga si kwa bwana Mwinyi, kwangu mwana wa HASANI,
Tanga utaminywa minyi, kwa fani ya ugangani,
Ukitaka ishinao, jifanyewewe mjinga.
Watanga kwa majivuni, hakuna tena nchini,
Hjawachelewi kulani, wakipewa mtihani,
Tanga watu wa kulani, harakati ziko chini,
Ukitaka ishinao, jifanye wewe mjinga.
Tanga kuzuli lakini! Kunapendeza machoni,
Hasa kwetu milimani,kule Lushoto nyumbani,
Tanga mjini jamani, KISIMA cha Qur-ani,
Ukitaka ishi Tanga, jifanye wewe mjinga.
Tanga jama amekeni, wa Tanga badilikeni,
Ngangari wote kueni, ndivyo apenda manani,
Watanga moto washeni, umwinyisasa acheni,
Ukitaka ishi Tanga,jifanye wewe mjinga.
Sita beti nimwishoni, Tanga kwenu ni fumboni,
Ngangari wapojueni, KILIMILE muoneni,
Wakali wa kila fani, Tanga hawakosekani,
Ukitaka ishi Tanga, jiganye wewe mjinga.
Almasi H. Shemdoe,
Tunda la Matumaini,
Dar es Saaam.

Watatuona hivi...lakini hawatuwezi
We unaonekana ulikuwa unapenda sana kuvuka reli!
Teh teh teh teh !
Watatuona hivi...lakini hawatuwezi
Shem huyu atusemaye siye Watanga labda hajafika kwetu...
Nashukuru kwa kunifagilia kwani Tanga ni kwetu.
Japo natokea Lushoto ila ndugu zangu wa Tanga mnauthi sana mnapo shabikia Magamba ila kwenye mambo yetu ya baikoko ya kitandani nime wakubali!
Nzeze waume na wandee!!!?...
Hahaha!!!!!....
Nimetambuka reli mimi na chungu cha fusho nimeivishwa nacho UNyagoni Lushoto
Ndo mana yakeeee...!!!!!
Mmeona ee watu8 na Mkereketwa_Huyu.... TA kiboko!!!!!
Acha zako wewe, sie tunakava sekkta zote.
Mara nyingi watu wakitaja tabia za watu wa tanga wanaongelea tabia za watu wa tanga mjini na kuacha wilaya nyengine. Tanga na pangani tabia zafanana, ila ukija muheza, handeni, lushoto, korogwe ni tofauti.
Japo natokea Lushoto ila ndugu zangu wa Tanga mnauthi sana mnapo shabikia Magamba ila kwenye mambo yetu ya baikoko ya kitandani nime wakubali!
Nzeze waume na wandee!!!?...
Osie zumbe shemdoe tizakuiva ukitigimbika tiughushiize mamdoe na walawi woshe