Tabia za nyota yako katika mapenzi

As for me ni 100% correct, honestly sikuwahi kufikiria kama jambo hili kuna watu wanalielewa vyema kiasi hiki sababu mimi sio mfuatiliaji wa mambo ya nyota na tabia zake kwa ujumla. You made my day marahaa1
 
Nyota hizi zinatokana Na nini ....? Au pia Zina asili ya jamaa sheitwani...?
 

Rubbish
 
Nikiwa mdogo nilipewa jina lenye herufi H baadae nikapewa jina lenye herufi A hebu nifafanulie nitakua na tabia za Kwenye herufi gani hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…