1. Kuendekeza kulakula tuu wakati wote ni kutafunatafuna.
2. Kupaka lipstic nyingi hadi inakera unakuta lips zimekuwa kama zimepakwa damu.
3. Kuendekeza kitambi/tumbo kubwa
4. Kula kucha in the public.
5. Kukandia wanaume wa nyumbani na kushobokea foreigners hata kama ni "white trash". (Tanzaniamalephobia)
4. Kuniuliza kila mara lini nitakuoa wakati ndio kwanza tumeanza ku-date na bao hamjuani vile.(desperation)
5. Kudharau wanafunzi wenzao/wakiume wakati wakiwa vyuoni, then kuanza kujipendekeza na kujigonga wakati wa maisha ya mtaani after graduadion.
6. Kulazimisha wapenzi wao kula wanachokipenda wakati wa outing hata kama hatupendi.
7. Harufu ya mwili hasa kwapani na maeneo nyeti
8. Harufu ya mdomo
9. Kuvaa wig/weaving ambazo ukiziona tu kwa macho makavu unajua ni nywele za bandia
10. unene usokuwa na mpango may be shauri ya ulaji usiokuwa sensible
11. Kudharau mtu mnapokutana nae for the 1st time, wakati hata humjui ni nani na anafanya nini
12. Kutoboa pua
13. Kuachia mapaja wazi wakati umevaa nguo fupi
14. Kulewa bila mpango na kuanza kujirahisisha kwa wanaume
15. Kujikandika foundation usoni kupita kiasi hadi uso unaonekana kama mdoli
16. mkorogo
...............mengineyo mtanisaidia

copy n paste , me naona ishakua ushindani sio vita bana
Ndugu yangu mengine hata sie wanawake wenyewe hatuyapendi kama Lipstic na wigi ila ndo fassion sasa tufanyaje ili tusionekane washamba! Twajipaka tu!
Wazungu wanahonga sanaaa, we kubali kataa, wazungu bonge ya dili ukimfuma wa maana!
Wanafunzi lazima niwadharau manake wanajionaaa kama hizo akili zao zinaliwa! Kufaulu kidogo tu Jitu lishajiona kama Isac Newton au Faraday au hata Lord Keynes na Irving Fisher!!! Msheeeeeeeew! Mi napenda kuwaremind the awfal truth they are just piece of shit in real world! Hawana lolote! Kazi kusaga lami tu!
Kama nachokula ni Classic na wewe ni mshamba lazima nikutoe ushamba kwa kukuforce kula classic cuisines! Bila bakora mnaenda nyie vidume wa siku hizi! Thubutuuu yenu! Watu tuko sehemu za maana unaagiza Chips Kuku!!!!! Kula kuku na umma kwenyewe hujui! Ndo inabidi kuepusha aibu nikuagizie fillet manake zinalika kwa uma kirahisi!
Kuna unene na Curves! Unene wa ovyo ovyo kama kiroba pia mimi siuungi mkono, ila curves ndo mpango mzima!
1st time lazima nilete pozi na makuz coz watu wengine shobo zimewajaa, ukijifanya kind na charming unaweza kufungiwa vioo au usijibiwe kabisaa ukaonekana unajipendekeza! Dawa ni kula cobis, mtu akikuanza kiungwana ndo narudisha uungwana! Mjini hapa Silaha Pesa, bastola zigo tu!
Mapaja yangu nikiacha wazi haikuhusuu, Coz najua lazima uyacheki yalivyonona ndo maana nakuorishia! Bila kuoneshwa sample ya zigo mnaingiaga line kiurahisi! Thubutu yenu! Dawa ndo hiyo kuwapa trailer kidogo!
Kulewa kama pesa huna ofa ulinipa ya nini? Siku nyingine chukua wanafunzi wanaokunywa juice! Wengine pombe stimulator tu wala sio kilevi!
Sema foundation cheap stuff ndo zinaboa, Ila kitu ya Marry Kay let me not mention the price ukipaka lazima uonekane wa kino, na hujaja mujini na basi!
Hahahah watu wanahasira! C ushindan jamen takin it easy ni challenge 2 kiroho safi
Ukiona hivi ujue msg sent and derivered......
Cheers karucee​!!!
1. Kuendekeza kulakula tuu wakati wote ni kutafunatafuna.
2. Kupaka lipstic nyingi hadi inakera unakuta lips zimekuwa kama zimepakwa damu.
3. Kuendekeza kitambi/tumbo kubwa
4. Kula kucha in the public.
5. Kukandia wanaume wa nyumbani na kushobokea foreigners hata kama ni "white trash". (Tanzaniamalephobia)
4. Kuniuliza kila mara lini nitakuoa wakati ndio kwanza tumeanza ku-date na bao hamjuani vile.(desperation)
5. Kudharau wanafunzi wenzao/wakiume wakati wakiwa vyuoni, then kuanza kujipendekeza na kujigonga wakati wa maisha ya mtaani after graduadion.
6. Kulazimisha wapenzi wao kula wanachokipenda wakati wa outing hata kama hatupendi.
7. Harufu ya mwili hasa kwapani na maeneo nyeti
8. Harufu ya mdomo
9. Kuvaa wig/weaving ambazo ukiziona tu kwa macho makavu unajua ni nywele za bandia
10. unene usokuwa na mpango may be shauri ya ulaji usiokuwa sensible
11. Kudharau mtu mnapokutana nae for the 1st time, wakati hata humjui ni nani na anafanya nini
12. Kutoboa pua
13. Kuachia mapaja wazi wakati umevaa nguo fupi
14. Kulewa bila mpango na kuanza kujirahisisha kwa wanaume
15. Kujikandika foundation usoni kupita kiasi hadi uso unaonekana kama mdoli
16. Kuombaomba hela bila mpango. Kuendekezaendekeza dhiki kijingajinga.
17. Kuingia clubs ama any hang out joints then mmejikusanya wasichana/wanawake kundi kubwa pekee yenu
18. Unapoalikwa dinner then unakuja na wenzio bila taarifa
19. mkorogoooo
...............mengineyo mtanisaidia
fair play jameni kama vipi tubadilishane jezi otherwise kila thred itakuja na part two yake humu ndani tutafika?
umeua mkuu. Mwanaume kuhonga ni wajibu lakini mwanamke nae akianza kuendekeza dhiki za kijinga sijui ninunulie voucher ya simu oooh naomba hela ya daladala that's a big turn offHalafu wengine mimaziwa imelala full kuipiga Tanganyika jeki. Mkorogo umedunda vidole kama mchimba kaburi.
Halafu first date then anaanza kuleta invoices bila aibu, si hata usubiri uliwe kidogo.