Ukimlea mtoto katika njia flani ndio hiyo hiyoo ataifataa...!! Kama alizoea kuwa rough chumbani kwakeee bhasi atakuwa na tabia hiyi hiyo hata akioaa...odo hua hasemi yuko hivo s muongeaj hata mtoto wake akikosea, chumban kwao hujui nguo safi ni zipi chaf ni zipi, hujui madaftari ya shule ni yapi ya twisheni ni yapi, mtoto hajui soksi kaweka wapi asubh ndio anataka kwenda shule ndio atafte, vyombo sasa wamepeana zam unaweza kuta sufuria ya ugali ya tangu juzi haijaoshwa imevunda na mama yao yupo anakwambia watajua wenyewe me kabla ya kwenda hua namtaarifu odo kesho naja atawaambia hiyo siku kutasafishwa vyombo vitaoshwa nikifika nakuta pasafi baada ha muda wa siku mbili tatu mchezo unajirudia bas hapo ndio tunaanza mbinde anakwambia sioshi chombo kama s zam yangu, unawagombeza wakat mwengine unawachapa wanamuogopa baba yao zaidi kuliko mama yan wakishasikia baba anakuja wote mbio
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sanaKuna mama alisimamisha daladala akapanda na mwanae wa kiume wakapata siti moja2 ikabidi yule mama ampakate mwanae mwenye umri wa miaka kama mitano hivi ...sasa yule mtoto akamuuliza mama ....."Mama mbona hatujaoga alaf tunasafiri tunaenda wapi kwani!!!!!„sasa ilikua aibu kwa yule mama tukagundua hajaoga na mwanae hajamwogesha alaf mbaya zaidi ni kwamba wamejipaka mafuta wamekolea hatari ...sjui ilikua babycare ile .....
Wanaanzaga kama mchezo kukujaribu...akiona unamchekea...ety oooh yan wewe e mtoto mtunduuu...
Anaona kumbe mwapenda eeh..sasa ndo anaendelea...
Me katoto kangu kadogo kalikuja mwambia mgeni "we mbona unakula Sana" nilikafinya hakurudia tena!
Wana mambo mengi Sana hawa watoto
DoohKuna mdogo wake rafiki yangu mmoja aliona ile video ya kondoo wakiwa wanatembea na wanaonekana wanatikisa makalio (ilisambaa sana whatsapp) akasema "mbona wanatembea kama mashoga". Aisee, nilishangaa sana.
Dogo huyo huyo alishamwambia mshkaji fulani aliyekuwa anacheka " mbona unachekacheka kama mwanamke?" Dogo mwenyewe sijui anamiaka minne sijui..
Tuna mtihani sana.
Ukimlea mtoto katika njia flani ndio hiyo hiyoo ataifataa...!! Kama alizoea kuwa rough chumbani kwakeee bhasi atakuwa na tabia hiyi hiyo hata akioaa...
HahaahahhaaaKhaaa nimkute Dogo ndio kaniharibia PC yangu kama Ivo nakanyonga kwa kweli[emoji53][emoji53][emoji53][emoji53]
Juzi nimerudi nikakuta dogo kapasua vibakuli vyoteKhaaa nimkute Dogo ndio kaniharibia PC yangu kama Ivo nakanyonga kwa kweli[emoji53][emoji53][emoji53][emoji53]
HahahahahahaaaNilipompeleka shemeji yenu nyumbani mdogo wangu binamu akasema *Dada ms mol* jinsi ulivyokuja kuanza chuo umepauka hakuna MTU aliyehisi ungeolewa mapema kiasi hiki. Alikuwa drs La 4..
huyo mama yao angejitahidi basi hata kidogo kuongea nao, i can imagine akifika mgeni atakavyoshangaa hapo karume hahaa. Mimi mama angu ni mpole hivohivo haongei sana lkn alikua anagawa vibao visivyo na idadi duh. unajikuta unafanya majukumu yako bila kuambiwa lasivyo utaskia tu anakuita kwa upole kama hujakosea kitu vile akikukamata uwiiiodo hua hasemi yuko hivo s muongeaj hata mtoto wake akikosea, chumban kwao hujui nguo safi ni zipi chaf ni zipi, hujui madaftari ya shule ni yapi ya twisheni ni yapi, mtoto hajui soksi kaweka wapi asubh ndio anataka kwenda shule ndio atafte, vyombo sasa wamepeana zam unaweza kuta sufuria ya ugali ya tangu juzi haijaoshwa imevunda na mama yao yupo anakwambia watajua wenyewe me kabla ya kwenda hua namtaarifu odo kesho naja atawaambia hiyo siku kutasafishwa vyombo vitaoshwa nikifika nakuta pasafi baada ha muda wa siku mbili tatu mchezo unajirudia bas hapo ndio tunaanza mbinde anakwambia sioshi chombo kama s zam yangu, unawagombeza wakat mwengine unawachapa wanamuogopa baba yao zaidi kuliko mama yan wakishasikia baba anakuja wote mbio
Mdogo wangu alishawahi nifanyia hii pia. Tumefika NYUMBAni anamwambia mama eti mama otea hizi chipthi kanunua nani? Mama akazuga. Akasema Dada kesho twende tena kwa Anko. Marafiki zangu wa kiume walikua wakipita nyumbani bila kusalimia utasikia wachumba zake dada S wale wanapita.Huyo akikua Mange Kimambi atasubiri.[emoji23]
Mi mdogo wangu aliwahi kuniumbua mbele ya mama, akapiga kwanza simpendi yule aunty wa juzi, sio kama yule wa jana kila akija ananipa chocolate au yule mwingine anapenda kuvaa nguo fupi anajionaa. Nlitamani kiama kitokee hapo hapo.
Hahahahahaaa. Ulikua unataka kugundua nin?Nilipokuwa mtoto, nilichukua pilipili kichaaa kisha nikapaka dushe kwa mbele ....... kilichofuata hatari sana
Ningempa na kifinyo kidogoohoo sasa mtu akikwambia zaa wako ndyo umpige duh basi inabidi uwe mpole tu, wazazi wengine bana , kuna dogo alikuja home sasa kuna kuku alikua ameatamia sasa ile ametoka eti huyo dogo kavunja mayai karibia yote eti anataka kuangalia kama kuna vitoto ndani jamani dah, nilimwambia tu aondoke kwao sitaki kumwona
hahaaa niliona bora tu aondoke nisije kumdunda sana kwa hasiraNingempa na kifinyo kidogo
Uwiiii. Alikukomesha"Mama madam anasema unipe Ada" nikamwambia kamwambie baba ako....akanijibu mwambie ww kwan c mume wako"! Nilichokaaa! 3.5yrs
huyo mama yao angejitahidi basi hata kidogo kuongea nao, i can imagine akifika mgeni atakavyoshangaa hapo karume hahaa. Mimi mama angu ni mpole hivohivo haongei sana lkn alikua anagawa vibao visivyo na idadi duh. unajikuta unafanya majukumu yako bila kuambiwa lasivyo utaskia tu anakuita kwa upole kama hujakosea kitu vile akikukamata uwiii