Huyo mtoto nuksi aisee sio kwa umafai aliokufanyiaKuna mtoto aliwahi kuja kunikombea mboga nimewekewa mgeni akasepa na nyama zote akabakiza mchuzi, nilishangaa sana.
Hapa kitaani dogo mmoja anatabia ya kuchungulia watu chooni. Actually bora hiyo ya kuchungulia, tabia nisiyoipenda zaidi ni ile ya kupiga ngoma dirishani kwangu..! Yaani anasubiria siku za weekend nimekesha kudownload muvi usiku mzima mipango yangu ni kulala mpaka saa tano asubuhi then yeye anakuja kupiga ngoma dirishani kwangu..! Aisee ipo siku nitapiga kwenzi moja huyu dogo mpaka tumbo la uzazi cha mama yake litetemeke..!Aisee unaweza ishi mahali au fika ugenini ukakutana na Watoto wenye tabia za Ajabu mpaka ukashangaa Sanaa...!! Unaweza baki na maswali Mia kidogo...
Tuanzie hapaa Kuna siku nlikuwa naumwa bhna sasa nkaenda Hospital wakati tumepanga Foleni akaja mama na mtoto wa Kiume miaka Kama mitano hivi aisee yule dogo akawa anasimama alafu anakuwa Kama anapinda hivi anaweka mkono kama kashika penis afu anamsogelea mama ake Kama anataka kumkojolea hivii...[emoji16][emoji16][emoji16] mama akampiga kibao akatulia sasa Dr akawaita zamu yao imefika dogo akawa anatembea tena kwa style ile ile nyuma ya mama akee aisee Tuliona aibu sisi...[emoji119][emoji119]
Tabia gani ya watoto uliwahi ishuhudia Ukabaki umeduwaa...???
Huyo cheo cha baba ake kilikuwa kinampa jeuriKuna mtoto mmoja babake anacheo cha kijeshi kikubwa. Pale kwao kuna mifugo sasa ukipita na manati ana conclude kuwa leongo lako ni kupiga manati mifugo yao. Yeye hakusemeshi taarufa utaipata kupitia babake mjeshi anayependa sifa.
Huyu mtoto ashawai kukojolea chakula cha wagrni mezani kisha akawatizama walipokuja kula ingawa walistuka.
Kuna mwingine tukiwa primary alijiwejea lebo nyekundu ili asichapwe babake akipoulizwa akasema kweli huyo mtoto mgonjwa. Ikapita kama mwaka. Siku katibua kwao, Yule yule babake alimpa kisago cha maana huku akiwa kamfunga ktika mti mpaka jioni. Taarufa zilipofika shule wakaikata ile lebo nyekundu akawa kosa dogo tu stiki nyingi sana
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Dadeki itakuwa kazoeaa huyokuna mmoja wa niaka mnne aliwahi kutoka na chupi ya mama yake sebuleni tena kaivaa kichwani halaf mama yake anamwambia 'jamani Junior acha basi rudisha ndani hio nguo' nlitamani huyo mama atoke nikafunye hadi akakute kamekua kekundu
Huyo wa chabo sasa ni balaa...! Ningekuwa Mimi hata hiyo ngoma ningeshaipasuaaHapa kitaani dogo mmoja anatabia ya kuchungulia watu chooni. Actually bora hiyo ya kuchungulia, tabia nisiyoipenda zaidi ni ile ya kupiga ngoma dirishani kwangu..! Yaani anasubiria siku za weekend nimekesha kudownload muvi usiku mzima mipango yangu ni kulala mpaka saa tano asubuhi then yeye anakuja kupiga ngoma dirishani kwangu..! Aisee ipo siku nitapiga kwenzi moja huyu dogo mpaka tumbo la uzazi cha mama yake litetemeke..!
Utapata kesi ya kusingiziwaa mkuu oohoKuna kitoto kimoja cha kike age kam 3 au 4..uwa kinakuja chumban kwangu tena kwa kung'ang'ania kanaanza kuvua chup na kuanza kukata viuno,,,
Mim ni mpangj mpya apo kwao na nikikauliz a kakufundish kanambia dada ndo kanifundisha
Dah nikikafukuza lazim kanaondok uku kananaimba kwa kuelezea maneno nilokua nakaambia
Saiz kila nikirud geto lazim nilock mlango yaan kanifny niwe muangalifu saanUtapata kesi ya kusingiziwaa mkuu ooho
Ahahahahah malezi hayo. Uzungu uzungunikuna mmoja wa niaka mnne aliwahi kutoka na chupi ya mama yake sebuleni tena kaivaa kichwani halaf mama yake anamwambia 'jamani Junior acha basi rudisha ndani hio nguo' nlitamani huyo mama atoke nikafinye hadi akakute kamekua kekundu