Tabia ya rafiki mpya inanitia mashaka

Daah! huyo shetani bhana maana cku hizi wanatembea mchana kweupee bila woga hahaha
 
au mkuu usikute unataka kutuomba ruhusa kiujanja,
we kama humwogopi mungu gonga hiyo
shadr at el munya.

hapana mkuu naomba ushauri tu

hyo shadr at el munya ninini mkuu nzalendo
 
Last edited by a moderator:

Thank you bro jichopevu
 
Last edited by a moderator:
I miss you ........ hahaaaaa kawaida sana mbona
 
Kesho atakwambia " I love you".. Hebu m block haraka.!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…