Tabia ya kuegemea magari ya watu

Haaaa haaaa haaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....mkuu nimebaki nakuonea huruma tuu...

Sio kwa kilio hiki[emoji24] [emoji24]
 
Skuizi nimemis lugha za makondakta wa Dar" toa gari ya mkopo hiyo"

Yani nikikuta mtu kaegemea li PASSO langu namtengua
 
Gari za siku hizi bodi zake nyanya Sana... Ukitaka usiumie nunua pijo 504 hata juu ya bonet utakaa... Passo akiegemea mlango unaweza hata kugoma kufunguka
 
Kuna 'kamentality' fulani wanako 'mafukara' (ufukara ni mindset) kwamba shida zao zinaletwa na mwenye nacho. Watu wa namna hii ndio wenye kushangilia 'fulani akinyang'anywa mshahara' na ndio hao hao wanaosema 'vitz na paso za mkopo blah blah blah'.

Tujifunze kuwa wawajibikaji. Utaegemea vipi gari ya mtu? Kama ulidhani la mkopo anakopeshwa hata mbuzi, na wewe kakope lako uegemee. Sometimes unakuta yako matatu manne, yameegemea gari yanagonga stori as if yamekalilia gogo la mnazi kwenye uwanja wa michezo wa shule ya msingi. Halafu hata kumsoma mtu usoni hayajui...kama yameokotwa sehemu porini yakaletwa mjini kwa bahati mbaya vile...%x$u&fc*k
 
Paki hewani
 
Ulimbukeni unamsumbua, atazoea tu, si kazi gari lenyewe la shemeji.
 
Huyu atakuwa mhaya tu lazima. Kwa hicho ki vits cha kudhulum marejesho finca?
 
Hao watakuwa ni wale wezi wa magari..kwa nini wasiende kuegemea nguzo za umeme? Next time ukiona wameegemea gari lako call 911
 
Magari ya Mikopo Haya... yanatia Watu Uchizi
 
Kama haibi chochote tambua ni Mlinzi namba mbili wa gari lako baada ya Lock ya milango.
 
Kwani tumekwangua Na kuvunja taa ??? Ukishuka ingia nalo ndani
 
Mkuu uwe unalificha mfukoni ili watu wasiliegemee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…