Sio kumbuka tuu lazima kwanza ubadilishe dini. Wanaua ndege wawili kwa jiwe Moja . Wanaondoa mzigo kwenye familia na kuieneza dini ya mnyaanzi ambayo Moja wapo ya technics ya kuieneza ni kutegeshewa mabinti. Siku ya ndoa wanakuvisha mavazi ya kiarabu na kikubebesha majambia na kukujaza upepo eti "umependeza" πππ