Tabia ya 'kubambia' wadada kwenye daladala

bambia kama huyo jamaa kwenye hii picha
 
Attachments

  • images.jpeg
    15.3 KB · Views: 425
Vp Sista na ww ni victim wa haka kamchezo nini!
Amicus Curiae ni wiki iliyopita tu nikiwa kwenye daladala natoka chuoni kijamaa Fulani kilinilalia mgongoni mpaka nashuka kituo cha manyanya nilipata mafua kabisaaa
 
Last edited by a moderator:
​hahahaaa!!dungadunga @ work!!
Ni kama mchezo ka kila mwanaume ila tunapokiri au kufichuliwa issue kama alivyofanyiwa Prof. Kapuya ndo tunaonekana wa ajabu. Unakumbuka ya Dominique Strauss-Kahn? Au ya Cliton na monica? au ya Silvio Berlusconi? Au hata ya yule mzee wa BOT? orodha ni ndefu, hata ndugai hajui idadi ya watoto wake.
 
Amicus Curiae ni wiki iliyopita tu nikiwa kwenye daladala natoka chuoni kijamaa Fulani kilinilalia mgongoni mpaka nashuka kituo cha manyanya nilipata mafua kabisaaa

Haha pole sana sista!
 
Last edited by a moderator:

haaaa!!uliowataja walikua
madunga dunga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…