Tabia mbaya uchagani

Mengi
 
Unachokiongea ni kweli kabisa. Ni jambo la kawaida kumkuta mdada mrembo anasafiri na mafuso mishi-dar
 
Aheri kuomba lift kuliko kupanda fisi
 
Hii tabia pia niliishuhudia huko huko moshi aisee ni shida unaweza Dhani wanasubiri msafara wa kiongozi upite wautazame
 
Nilidhani umesahahu Mboro.
 
Mimi nilifikiri wanateka Magari ya watu, kumbe wanaomba lifti.
Ukiwa na Roho yako mbaya wanyime anayeweza kusaidia atafanya hivyo

Mleta mada inaonyesha akimpa MTU kitu atamwandika mpaka kwenya makatani na mtaa wote atawatangazia
 
Kamera
Msanya
Malle
Kowero
Makundi
Koola
Weka na hao fundi chuma
Msanya ngoja kesho nimuulize Babu nina muuliza mdahuu yupe full mbege anasema urassa huyooo! Nadhani ni koo ndogo Sana ama zimetokana na Koo Kama urassa na nyinginezo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…