Tabia hizi katika Supermarkets zinaboa

Tabia hii ipo sana pale mlimani city imenikuta saana
 
Aaaaah ! Sisi gengeni kwa Mpambe hatujawahi kukutana na tabia hiyo !
 
Rudi tena ndani chukua hata Pipi
Huwa aziwekwi mbali na kaunta ila ni kutokuwa tu na aibu
ya kukazia jiti ili usiiache kumbuka nyuma yako panaweza kuwa wateja vilevile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…