CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
- Thread starter
-
- #21
Ukuni wangu ukipata hamira, nahitaji utendewe haki soon!
Mambo ya kupangiwa mgao kama umeme wa Tanesco kwangu nishaTUPA kulee!
Sijui nayo ni tabia mbaya au nzuri !
Mimi sijui.
Charminggirl acha tu.
Me binafsi nilikuwa na tabia ya kuvua nguo zote na kubaki nkd,then nachukua kioo cha bi Mkubwa(R.I.P) nakilaza chini then namwita mdogo wangu ili anichore umbo langu nikiwa nimelala chali juu ya kioo.
Akishanichora,nachukua mchanga najaza ndani ya lile umbo langu.
Yani huwa nikikumbuka najiuliza marambilimbili au nili-kuwa half chzi au?
Utoto acha tu.

bby, usiseme kila kitu sasa
Sawa baby switi wangu.
Siendelei...!!
Sasa vp leo hatuendi pale SportsPUB-BBQ Sinza?
Nimemisi kugonga mvinyo..!!
bby, usiseme kila kitu sasa
heri yako umeweza kuacha, me mpaka leo natafuna kucha, na wanangu wote nao wanatafuna kucha, ila nawadhibiti waache mana wacje wakakua na hyo tabia wakaendelea nayo.
Mie nina tabia ya kupenda kuvua nguo, yani ukiniacha peke yangu tu, nishachojoa.