Royal Warrior
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 1,166
- 2,144
- Thread starter
-
- #21
you really have a very long way to go...Wana dharau, wanajibana kula, wanapenda kusifiwa, sehemu kubwa ya mafanikio yao imetokana na nguvu za giza, .............
Sent using Jamii Forums mobile app
Manji hana hayo yoteNi vyema kujifunza kwa watu wenye mafanikio miongoni mwa tabia zao ambazo kwa namna moja au nyingine ndio zimechangia wao kuwa na hayo mafanikio.
1. Wana nidhamu
2. Wachapa kazi
3. Wanapenda kusoma vitabu
4. Wanalala mapema na wanaamka mapema
5. Wanajali sana muda wao
6. Wanakula vizuri na kufanya mazoezi
7. Wana marafiki wanaojitambua
8. Wana vyanzo vingi vya mapato
9. Hawakati tamaa
10. Wanajali afya zao.
Hizi tabia ukijitahidi kuwa nazo, sooner or later you'll be among the successful.
And quite sadly the way is nowhere to be foundyou really have a very long way to go...
manji is not the definition of success.Manji hana hayo yote
For starters, unaweza kuanza na moja kisha unaenda unaongeza nyingine.. na kama ukichunguza zipo inter-dependent, yaani ukianza na moja automatically itakupelekea ku adopt na nyingine.Do i need a combination of all? au hata tabia mojawapo tu na mi ntatoboa..
sawa
Sawa mkuu, hivi mafanikio ni nini hasa? mana kuna mdau katoa mfano wa manji hapo juu umempingaFor starters, unaweza kuanza na moja kisha unaenda unaongeza nyingine.. na kama ukichunguza zipo inter-dependent, yaani ukianza na moja automatically itakupelekea ku adopt na nyingine.
ni kweli, if wanna be the hero, you need to pay the price.Uliyoyaandika yote ni sahihi.
Utekelezaji ndiyo tatizo kwa asiyeamini.
mafanikio yana maana pana sana. ila kuiweka kwa urahisi, mafanikio ni pale unapoweza kukamilisha mipango uliyojiwekea. kwa mfanoSawa mkuu, hivi mafanikio ni nini hasa? mana kuna mdau katoa mfano wa manji hapo juu umempinga
Kweli umeiweka kiurahisi..yani mpaka mie la saba B nimeweza kukuelewa. heko kamandamafanikio yana maana pana sana. ila kuiweka kwa urahisi, mafanikio ni pale unapoweza kukamilisha mipango uliyojiwekea. kwa mfano
-umejiwekea mpango ujenge nyumba mwaka huu, ukimaliza kujenga umefanikiwa katika hilo jambo.
-umejiwekea mipango uwe na familia ya watoto 2, ukikamlisha unajihesabu umefanikiwa.
-umejiwekea mipango, usome mpaka phd, ukikamilisha then... etc
Well said!Ni vyema kujifunza kwa watu wenye mafanikio miongoni mwa tabia zao ambazo kwa namna moja au nyingine ndio zimechangia wao kuwa na hayo mafanikio.
1. Wana nidhamu
2. Wachapa kazi
3. Wanapenda kusoma vitabu
4. Wanalala mapema na wanaamka mapema
5. Wanajali sana muda wao
6. Wanakula vizuri na kufanya mazoezi
7. Wana marafiki wanaojitambua
8. Wana vyanzo vingi vya mapato
9. Hawakati tamaa
10. Wanajali afya zao.
Hizi tabia ukijitahidi kuwa nazo, sooner or later you'll be among the successful.
Kuna ukweli mkubwa sana...nimekubali mkuu.Ni vyema kujifunza kwa watu wenye mafanikio miongoni mwa tabia zao ambazo kwa namna moja au nyingine ndio zimechangia wao kuwa na hayo mafanikio.
1. Wana nidhamu
2. Wachapa kazi
3. Wanapenda kusoma vitabu
4. Wanalala mapema na wanaamka mapema
5. Wanajali sana muda wao
6. Wanakula vizuri na kufanya mazoezi
7. Wana marafiki wanaojitambua
8. Wana vyanzo vingi vya mapato
9. Hawakati tamaa
10. Wanajali afya zao.
Hizi tabia ukijitahidi kuwa nazo, sooner or later you'll be among the successful.
WhysoSerious..Ni vyema kujifunza kwa watu wenye mafanikio miongoni mwa tabia zao ambazo kwa namna moja au nyingine ndio zimechangia wao kuwa na hayo mafanikio.
1. Wana nidhamu
2. Wachapa kazi
3. Wanapenda kusoma vitabu
4. Wanalala mapema na wanaamka mapema
5. Wanajali sana muda wao
6. Wanakula vizuri na kufanya mazoezi
7. Wana marafiki wanaojitambua
8. Wana vyanzo vingi vya mapato
9. Hawakati tamaa
10. Wanajali afya zao.
Hizi tabia ukijitahidi kuwa nazo, sooner or later you'll be among the successful.
yeah thats right mkuu.WhysoSerious..
Umelist vizuri sana!
Yote uliyoainisha ni ukweli na ni muhimu kwa hususani vijana kuyafanyia kazi,
Niongezee angalau kipengele kimoja ambacho sijui utakiingiza wapi?.....Watu wenye mafanikio huwa ni Watu majasiri sana, hawaogopi kukosea ila wanaogopa kutokujaribu! hawana msamiati wa kushindwa katika akili zao! Wakishindwa ujue walishajaribu ila hawakuona kufanikiwa kwa njia waliyotumia wakabadili njia nyingine!
Maranatha!