nalamba yote
Member
- Nov 21, 2017
- 56
- 53
izo bar ndio centre zao kuu huko tabataMbona wapo wengi tu tena wapo kitambo. Kuwaona, tembelea The Great park, Kwetu pazuri, Forty forty etc...
mitaa gani zipo!?..manake mie najua zaidi makanisa,misikiti,benki,vyuo..sasa nataka niende tukatumie hizo kondom na tishu..mtoa mada,walikua na nyama au vimbaumbauizo bar ndio centre zao kuu huko tabata
Aisee...mitaa gani zipo!?..manake mie najua zaidi makanisa,misikiti,benki,vyuo..sasa nataka niende tukatumie hizo kondom na tishu..mtoa mada,walikua na nyama au vimbaumbau
Mkuu jina lako lenyewe "Nalamba Yote" - haukuwala kweli hao Madada?? Au ndio unawapigia "Promo" huku tujue vijiwe vyao - ili wanaotaka kwenda "kujivinjari" waelekee huko???
Wiki kama mbili hv zilopita nilikatisha Kwa miguu nikitokea maeneo ya KB nikakatisha vichochoro flan kama unakuja SWIS mida ya SAA NNE ucku,nilivyokaribia karibu na car wash flan nikakutana na wadada km wanne hv wadangaji,wakanitinga mbele yangu na kuanza kuniomba tukapigane Pumb*,huku kila mmoja akijaribu kunishawishi kivyake,nilipochoka ni pale mmoja aliposema eti 6000 yako tu unakula kitu saafi na kondom anayo na tissue pia anayo,ananiomba twende car wash chooni tukamakize mambo Kwa mlinzi,nikajiuliza Hawa watu wamevamia lini tena tabata jmn,namshukuru Mungu nilivishinda vishawishi vyao maana nilikuwa ninawahisha dawa ya tumbo Kwa mdogo wangu home,ungekuta sina haraka labda Kwa Mara ya kwanza nakula Malaya chooni.kuweni makini na maeneo hayo nyakati za usiku hasa wale mnaokatisha vichochoro Kwa miguu wakuu.
......samsin is not adding up.
Ulipiga bana. Kuja kustuka ndo ukawahisha dawa home.
Hahaa. Kapiga bana tena huko chooniHuyu alipiga.
GerejiHahaa. Kapiga bana tena huko chooni
Car wash chooni.Gereji
Hajapiga,alikuwa anawahisha dawa!.Hahaa. Kapiga bana tena huko chooni