tzhumoally
JF-Expert Member
- Mar 20, 2015
- 412
- 156
huwa hakuna njia simu kujua battery yako imebakiwa na chaji kiasi gani, unaponunua kwa mara ya kwanza kifaa chako ukikichaji then simu inakariri ule ujazo/uwezo.
hivyo wewe hapo kuna uwezekano mkubwa battery calibration imecorupt na tablet haielewi hata battery inaishaje. mfano inaweza kusema battery ipo 100% kumbe kiuhalisia hata 25% haijafika hivyo ukiitumia inadrop faster.
solution jaribu kufanya upya battery recalibration ili ureset stats za sasa hivi na tab yako ianze kusoma battery upya.
nenda playstore search app inaitwa advanced battery calibration then fuata maelekezo
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.BoshBashStudios.advancedbatterycalibrator&hl=en
calibration isiposolve kitu then ipeleke samsung/kanunue battery
MIMI NINATA tecno,nashindwa kugoogle,inataka google account,play ,nashindwa ku set plz msaada
kama ulivyoshauliwa ungejaribu kubadili battery
mkuu nimefanya ulivyoniambia..baaada ya kujaa 100%niliiwasha..nilitumia kidogo then ilifika 98% ilizima kama dkk 4 hv ikawa haiwaki kabisa..na nikiweka chaj inasema ina 98% ila baadae ikawaka..nikatumia kidogo ikadrop mpaka 91% hapo nikatumia ilikua inajirestart sometimes ila battery ilibaki ile ile na baaa ya kutumia tena kidogo ilizima na ilipojiwasha ina 56% na imekaa kidogo imeshuka tena mpaka 13% ndan ya dkk 4..yaan tuseme tatizo moja ni battery but jee huko kujireatart na sometimes kugomz kuwaka je? Chief-Mkwawa
Chief-Mkwawa ndio nataka niende huko samsung ila kaka mpaka hio issue ya kujirestart inawezekana ikawa ni battery..?itakuwa ni battery kaka, jaribu kutafuta mtu mwenye battery kama yako au nenda service centre ya samsung utest battery before hujanunua ili uhakikishe mwenyewe
Yap battery inaweza sababisha kurestart kama itakuwa inakata Moto na kurudisha ghafla.Chief-Mkwawa ndio nataka niende huko samsung ila kaka mpaka hio issue ya kujirestart inawezekana ikawa ni battery..?