TAASISI ZA MISAADA YA ELIMU YA JUU.

TAASISI ZA MISAADA YA ELIMU YA JUU.

Detective Dee

Member
Joined
Sep 20, 2015
Posts
51
Reaction score
17
Ndug zangu kam kuna mtu anaye ijua taasisi au shirika au kampuni yoyote inayotoa msaada wa kuwasomesha wanafunzi wa elimu ya juu naomba tujuzane ili walengwa waweze kupata huo msaada asanteni.
 
Ni makanisa tu ndo nadhani akienda na akajieleza vizuri atapata lakini taasisi hazipo..wengi wangeshaenda na kusingekuwa na kilio juu ya heslb
 
Taasisi nyingi hazisomeshi vilaza zinataka watu waliochapa one..bongo ukishakoswa na heslb inabidi ujiunge jeshi tu
 
Uskatee tamaa na bodi ya mikopo wasumbue mpaka tone la mwisho watakusomesha kma una sifa za kusomeshwa na HESLB
 
Back
Top Bottom