MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,252
- 8,003
Tunatakiwa kuliombea taifa letu ikiwa ni pamoja na kumuombea kiongozi wetu wa nchi.
Kufuatia kauli kauli za serikali kwamba hakuna sehemu yenye njaa nchini na kwamba wanaotangaza baa la njaa wanatumwa na wafanyabiashara.Pia kama kutakua na njaa sehemu yeyote serikali mwaka huu haitatoa msaada wa Chakula.
Nilichosikitikia zaidi ni kusikia hata vile vyombo vya habari ambavyo vilitangaza uwepo wa baa la njaa katika maeneo mbali mbali navyo vimepewa onyo kwamba siku zao zinahesabika.
Lakini viongozi wa taasisi muhimu za dini wamewahimiza waumini kuliombea taifa kutokana na kuwepo dalili za ukame katika maeneo mbali mbali pamoja na baa la njaa. Pia wanahimiza kuliombea taifa kwa Mungu ili mvua ziweze kunyesha kuinusuru jamii.
MY TAKE
Hivi nani asikilizwe katika hili? Kama ni viongozi wa dini ni kwanini iwe kinyume na sirikali?