"Msije mkasema hamjaambiwa, wengine mnavichwa kama rungu au dume la siafu, sasa hilo wigi likipeperushwa na upepo kumbe ulikuwa unaficha uwalazi usije sema huku ambiwa. Ikiwezekana muyagongelee misumari au muyawekee gundi"
Mkuu nimewakumbusha tuu hawa jinsia pendwa, maana mawigi yao mengi niya kudumbukiza kichwan, wengi ukiwapamia wanakimbilia kushika kichwa sijui wana shida gani.