anna bubelwa
Member
- Mar 12, 2013
- 40
- 10
Avumiliae mpaka mwisho ndiye atakaepokea taji,huenda na kuwa na subira ni sehemu ya interview
alafu ukizingatia cna ndugu dar ndo mana
yan nimechoka born again acha tu
Anna dada yangu kusema ukweli inachosha sana najua unachokiongelea mimi tu nilikuwa najaribu kukutia moyo ila ni ngumu inahitaji uvumilivu mkubwa sana,kuna msemo unasema kuwa "The bad thing about waiting is you have too much time to think the word WHAT IF"
Hongera Anna bubelwa nilifanya na mie hiyo interview hauna budi kusubiri rafiki umalizie hiyo interview ya mwisho
asante kwa kunitia moyo entreprenegro ils inachosha unasubiri interview ya oral mwezi mzima au wanasubir bajet ya mwaka ikae, vp na we upo oral
usichoke anna maana huwezi jua alokwandikia mungu kwa hiyo subira siku zote ndiyo njia ya haki na nwenye yupo katika njia ya mwenyezi mungu,endelea kuomba uzima na akujaalie upate kazi hiyo maana yeye ni mjuzi wa yale ya siri na ya dhahiri,AHSANTE
usichoke anna maana huwezi jua alokwandikia mungu kwa hiyo subira siku zote ndiyo njia ya haki na nwenye yupo katika njia ya mwenyezi mungu,endelea kuomba uzima na akujaalie upate kazi hiyo maana yeye ni mjuzi wa yale ya siri na ya dhahiri,AHSANTE
mungu akubariki amina
bado mnasubiri jaman?
Habari zenu wanajamvi, nnaomba kuuliza kuhusu oral interview ya utumishi katika ofic za ppra kwa anaejua specific date naomba anijuze cz toka tar 3 mwez wa tano wamesema tusubir lkn mpka sasa hakuna cha taarfa yoyote ya kuitwa kufanya oral wala hakuna kupigiwa simu na watu tumetoka mikoani hatuna ndugu huku. pia ukisema uondoke dar wenda siku unayoondoka wakaita so naombeni kufahamishwa mwenye taarfa zaid.
ASANTENI
Noboby knows 2mor..