Katika swala la kuajiriwa inabidi uwe fiti haswa katika network na information systems kwa codes sio kuziweka ktk CV tu hapo tunababana kwenye experience mkuu
Wanaosoma computer science wanajua nin wanafanya na nin wanataka kweny maisha
Note that computer science ni kipaji na sio notes za darasan,kama una akil za kuajiriwa computer science haikufai
kuhusu ajira zpo ila inategemea na uwezo wako mkuu, ukiwa mzur kwny koz hii huitaj kuajiriwa mzee mfano mdogo ni wamilik jf mzee watu wanakula maisha simple sana
kuhusu ajira zpo ila inategemea na uwezo wako mkuu, ukiwa mzur kwny koz hii huitaj kuajiriwa mzee mfano mdogo ni wamilik jf mzee watu wanakula maisha simple sana
Iko poa sana ila cheza na code kwa sana ishu za kutafuta gpa sio matter sana, matter nikujua vitu,!!! Pia cheza na networking, or graphics itakusaidia sana