secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 21,069
- 42,910
Nimepata taarifa za kikachero.
Ni kwamba Uzi wa rikiboy, 'kula tunda kimasihara' unazidi kusaidia CHAPUTA kujipatia wanachama wengi zaidi.
Duru zunadai kuwa new membaz wanazidi kuufufua Uzi ule na kila wanapousoma basi hupandwa na ashiki kiasi cha kuukwea mnazi kwa kono moko.
Combo ya kula tunda kimasihara na spesheli sredi ya warembo wakali world wide ni ya hatari.
Mbaga Jr ipo haja ya Mimi nawe kula pombe kufurahia matunda ya jitihada zetu.
Ooh Hallelujah!
Cc min -me.
Buena suerte Morocco,Inasikitisha sana
Haya ☝️ maneno tafsiri yake ni kwamba, hata kule Morocco Kuna wanachama wengi wa CHAPUTA, siyo?Buena suerte Morocco,
Vamos Morocco.
Siri yafichuka 😎.Nimekutana na vijana wana mikono shupavu kumbe siri kuu ni ukweaji minazi?Siri zinafichwa sana!
Fafanua kwa points sita.Hataree punyeto inaleta hofu mbele za watu