Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,335
- 33,920
The Republican,Ndugu Mohamed Said, nikweli kabisa ya kwamba Maisha ya AbdulWahid Sykes yalijikita mno katika kupambania uhuru wa Tanganyika, hilo halina shaka ijapokuwa vilevile kutambuliwa kwake ni kwa uchache mno (walitambuliwa kama watu waliopambania uhuru na Mhe. Samia Suluhu na wengineo).
Lakini ndugu yangu katika Sheria ya Maisha ni wazi si wote kuwa watatambuliwa katika kusaidia jambo au kufanya jambo Hilo isipokuwa wale tu ambao labda naweza kuita bahati au labda kwa kazi kubwa waliyoifanya yenye kustaajabisha.(kwa Mfano walioshiriki Vita ya Maumau si wote wanaotambuliwa na watu mpaka Sasa isipokuwa watu wachache).
Kitendo cha wewe Kuandika kitabu kuhusu Hawa wapambania uhuru ni alama tosha ya kuwatambua kwao. Labda nikuulize swali ndugu yangu unataka watambuliwe kwa namna gani ambayo wewe unaona inafaa kufanywa ili uone ni sawa? Maana sioni sababu ya kuwa ati hawatambuliwi wakati tayari serikali imekwisha watambua japo ni kwa uchache wake. Tushukuru jitihada hizo pia
Tumia Busara Basi. Walau kwa staha itapendeza zaidi. Huyu mzee tumpe heshima yake kidogo.unataka watambuliwe kwa namna gani? umeshawatambulisha toka umeanza kuandika hapa jf na sisi tumeshawatambua. yes walipigania Uhuru the what?
Saja...unataka watambuliwe kwa namna gani? umeshawatambulisha toka umeanza kuandika hapa jf na sisi tumeshawatambua. yes walipigania Uhuru the what?
The Rep...Tumia Busara Basi. Walau kwa staha itapendeza zaidi. Huyu mzee tumpe heshima yake kidogo.
The Republican,Ndugu Mohamed Said, nikweli kabisa ya kwamba Maisha ya AbdulWahid Sykes yalijikita mno katika kupambania uhuru wa Tanganyika, hilo halina shaka ijapokuwa vilevile kutambuliwa kwake ni kwa uchache mno (walitambuliwa kama watu waliopambania uhuru na Mhe. Samia Suluhu na wengineo).
Lakini ndugu yangu katika Sheria ya Maisha ni wazi si wote kuwa watatambuliwa katika kusaidia jambo au kufanya jambo Hilo isipokuwa wale tu ambao labda naweza kuita bahati au labda kwa kazi kubwa waliyoifanya yenye kustaajabisha.(kwa Mfano walioshiriki Vita ya Maumau si wote wanaotambuliwa na watu mpaka Sasa isipokuwa watu wachache).
Kitendo cha wewe Kuandika kitabu kuhusu Hawa wapambania uhuru ni alama tosha ya kuwatambua kwao. Labda nikuulize swali ndugu yangu unataka watambuliwe kwa namna gani ambayo wewe unaona inafaa kufanywa ili uone ni sawa? Maana sioni sababu ya kuwa ati hawatambuliwi wakati tayari serikali imekwisha watambua japo ni kwa uchache wake. Tushukuru jitihada hizo pia
Ni kweli mzee wetu na ndio maana mchango wako ninautambua vizuri. Jitihada zako ni wazi kwa kiasi flani zimezaa matunda katika kumbukizi za wapigania uhuru, kongole kwako mzee wetu. Ila nadhani ni wakati Sasa wa kutumia ujuzi wako katika maswala mengine ambayo yangeweza kutoa ushauri kwendana na muda. Miktadha hiyo labda inaweza kuangazia Tanzania mpya na si Tanganyika ama Zanzibar ambayo kimsingi vijana wengi hawaipi thamani yake(labda ni elimu au Kila zama na kitabu chake). Tunapenda kuona mawazo mapya ya kisasa na kisiasa zaidi ili tuzidi kujifunza. AhsanteThe Republican,
Historia ya TANU ilifutwa yote.
Laiti kama nisingeandika historia hii historia ya kweli isingejulikana.
Kuwa historia hii itambuliwe vipi kwa sasa hilo halina maana.
The Republican,Ni kweli mzee wetu na ndio maana mchango wako ninautambua vizuri. Jitihada zako ni wazi kwa kiasi flani zimezaa matunda katika kumbukizi za wapigania uhuru, kongole kwako mzee wetu. Ila nadhani ni wakati Sasa wa kutumia ujuzi wako katika maswala mengine ambayo yangeweza kutoa ushauri kwendana na muda. Miktadha hiyo labda inaweza kuangazia Tanzania mpya na si Tanganyika ama Zanzibar ambayo kimsingi vijana wengi hawaipi thamani yake(labda ni elimu au Kila zama na kitabu chake). Tunapenda kuona mawazo mapya ya kisasa na kisiasa zaidi ili tuzidi kujifunza. Ahsante
Vile taarifa nyingi zinavyofichwa...Smart...
Leo umezungumza.
Kuna hatari gani?
Laki...Historia yako haina udhibitisho wowote....Imejikita kwa watu wa Dar Es Salaam tu.......Wakati wapigania uhuru walikuwa Tanzania nzima
Abdul Sykes hakuwahi kuitisha hata mkutano mmoja wa TANU.... Yeye muda mwingi yuko kariakoo kwenye biashara zake..Wakati huo Nyerere yuko bize full time kudai uhuru.Laki...
Uthibitisho ninao wala hili halina shaka.
Uthibitisho wa nyaraka na picha nimeweka hapa mara kadhaa.
Lakini hili lisikutaabishe hata ukisema kuwa huamini nilyoandika mim sina tatizo wewe kama msomaji una hak zako ambazo hakuna wa kukulazimisha uone atakavyo mwandishi.
Una haki zote ya kukikataa kitabu cha Abdul Sykes ukaamini vtabu vya Chuo Cha CCM Kivukoni na kitabu cha Abubakar Ulotu.
View attachment 2226128View attachment 2226130
Laki,Abdul Sykes hakuwahi kuitisha hata mkutano mmoja wa TANU.... Yeye muda mwingi yuko kariakoo kwenye biashara zake..Wakati huo Nyerere yuko bize full time kudai uhuru.