Taarifa ya Shellukindo dhidi ya Makamba

Nashangaa jinsi watoto wao pia wanavyoshindwa kusoma alama zanyakati!Watanzania wanaamka sasa!Hii nchi mnataka kupokeza nyie tu eeeee?Subirini mtaona!Hamna hata aibu?Shit!
 
Sio bure huko CCM kuna ugonjwa mbaya sana.. Kama inafikia wakati watoto wanajiona wana haki ya kuwarithi wazee wao kwenye uongozi.. basi ugonjwa umekuwa mbaya kuliko ule wa Mwakyembe..! Mungu atunusuru na janga hili..
 
Pelekeni u shellukindo wenu na u makamba huu ni uendelevu tu Wa ufisadi, si muwasiliane wenyewe kwa Simu na kumaliza tofauti zenu, tokeni hapa na mada zisizo na msingi nyamafu!

 
Ninawajua vyema sana watoto wa Shelukindo, nina uhakika hawana hamu kabisa na mambo ya siasa. Wako busy kutafuta maisha kwa njia nyingine. Baraka utoro na utundu wote ule wa Ilboru leo hii aende akagombee ubunge?, mbona tutamwita mzee Bino aje na fimbo?
 
Reactions: LAT

mkuu

kumbe na wewe ulikuwa pale kwa mzee Bino, Mzulu na Machakura
 

and who said nyie familia ya shelukindo wana bumbuli bado wana wahitaji ni nani? naamini nyie hamuwajui vizuri watu wa bumbuli,yo think mzee shelukindo ana legacy yeyote bumbuli? mimi ni mkazi wa bumbuli na sioni hata sababu ya tamko hili....
ni kama vile you think mzee shelukindo,with due respect ni kama baba wa wana bumbuli? sio hivyo ndugu zangu.
wana bumbuli wana bahati mbaya so far kwa kuwa bado mpaka sasa sina uhakika kama wameshapata mbunge maana hata walie nae bado sijaona kilichofanyika....
kwa hiyo sio shelukindo na wala sio makamba ambaye anaweza kusema yuko mioyoni mwa wana bumbuli...
ni vile tu bado mwamko wa wana bumbuli bado kidogo otherwise wakitokea wapinzani wakawaelewesha jimbo laweza hamia upinzani...
as for now mheshimiwa makamba relax and do your home works properly,,, you still have the chance to help wana bumbuli na kukumbukwa even beyond your tennar...
there is no threat whatsoever from shelukindo's family...
watu walikuwa na imani na shelukindo ila aliwatosa....
 

hivi humu kwenye red sijaelewa?????
 
Upuuzi tu. Wanataka kutuonyesha kuwa ubunge wa Bumbuli ni wa akina shelukindo na makamba! Ningekuwa mkaazi wa Bumbuli ningemobilize wananchi tuwateme wote kwenye uchaguzi ujao.
 
Alitumwa na Kikwete kugombea Ubunge jimboni na kumuangusha Shelukindo kwa sababu za Kisiasa; Chuki kati ya Kikwete na Shelukindo juu ya Ufisadi

Kikwete anajua hayo fika
 

Nini kimekanushwa kwenye hii statement? Kwamba Mh. Makamba na Shelukindo wamekuwa wakikutana tofauti na kinachoenezwa kwamba hawajawahi kukutana? Kama wamekuwa wakikutana mbona kuwe na jitihada za familia kuwakutanisha?
Siasa bwana kaaazi kweli kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…