🤔🤔 😥🙄😏🚶🚶Habari zenu jf
Huyu mgeni wa tbc kwenye taarifa ya habari anasema nchi ina wagonjwa wa korona 200 kwa sasa wanajulikana ni wagonjwa walitoka nje ya nchi tu hili limekaaje? Ama sikusikia vizuri ama amepotosha umma
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwe unasafisha masikio upate kusikia vizuriHabari zenu jf
Huyu mgeni wa tbc kwenye taarifa ya habari anasema nchi ina wagonjwa wa korona 200 kwa sasa wanajulikana ni wagonjwa walitoka nje ya nchi tu hili limekaaje? Ama sikusikia vizuri ama amepotosha umma
Sent using Jamii Forums mobile app
Majibu mepesi swali gumu mkuu acha tu kama huna utashi wa kutafakari jamboApo kwenye tv umeshindwa kumuuliza mpaka uje uku
Nadhani itakuwa hivyo kama hukusikia usichangie unaonyesha jinsi ulivyo na upeo mfupi kuchakata vitu
Kama ukikuta wenyewe wanatazama unafanyaje lazima uvumilie tu hata kama hutakiKwani hiyo TV bado ipo na mnaitazama?
Apo kwenye tv umeshindwa kumuuliza mpaka uje uku
Bwashee johnthebaptist hebu njoo utoe clarification huku kuna utata.Habari zenu jf
Huyu mgeni wa tbc kwenye taarifa ya habari anasema nchi ina wagonjwa wa korona 200 kwa sasa wanajulikana ni wagonjwa walitoka nje ya nchi tu hili limekaaje? Ama sikusikia vizuri ama amepotosha umma
Sent using Jamii Forums mobile app
Taarifa zinatolewa na waziri wa afya na waziri mkuu..... Huyo aliyemuona TBC aachane naye!Bwashee johnthebaptist hebu njoo utoe clarification huku kuna utata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa ufafanuzi bwashee, ila sasa ile tibisii si ni televisheni ya sirikali imekuwaje wanampa eataimu mtu mwenye mrengo wa 'kibeberu'?Taarifa zinatolewa na waziri wa afya na waziri mkuu..... Huyo aliyemuona TBC aachane naye!
Ipakue hiyo taarifa ya habari kwenye cm yako uisikilize vizuri. Siyo unatangaza ujinga wako hadharani nyau wewe.Nadhani itakuwa hivyo kama hukusikia usichangie unaonyesha jinsi ulivyo na upeo mfupi kuchakata vitu
Sent using Jamii Forums mobile app