Nadhani huna sabau ya kunyanyapaa wanoumwa ukimwi. Magonjwa hayachagui wagonjwa; binadamu yeyote anaweza kuugua uganjwa wowote.
Tusifikishane huko!
Hata Mengi nilisikiaga ana mdudu tokea mwaka '94 lakini huyo bado anapeta tu...
Mijitu kwa ku speculate afya za watu tu...aaarrrggh
Kifupi raisi wetu ni mgonjwa hizi zingine ni porojo!
kama huyu mfisi anabisha sisi watatoa hela yetu tumpime afya rais ,,maana vipimo vyao vinatoa majibu ya uongo.we mtu anaanguka anguka tu baadaye mnasema haumwi.Mbona mugabe hajawai kuanguka an uzee wote ule..Jangwani alipoanguka mkasema ooh kachoka na kampeni na alikuwa amefunga for 40 days,haya juzi mwanza mnasema eti uchovu ,mi babu yenu mbona nachoka sana lakini sijawai kuanguka..muulizeni bibi yenu
Kuna machangiaji hapo awali alisema huenda Kikwete ni mfanya kazi sana kuliko maraisi wote....ndo maana anachoka kupoteza kumbu kumbu na kupinda shingo na kuzima!
Jamani mambo mengine ni kumdhalilisha Raisi wenu kwa kweli, nyie mmeshafafanuliwa na hiyo report ya madaktari sasa mnachoendelea kukitafuta ni nini?? Kwani mkiambiwa anasumbuliwa na maradhi haya then what next? mbona hamna shukurani jamani?? Raisi yupo vyema anafanya kazi zake kama kawaida hata kama ana maradhi mengine si jukumu lenu kujua, kwani hapa JF ni wangapi wenu mnamaradhi mfano:- BUSHA, KIFUA KIKUU, UMALAYA mbona hakuna anayewatafuta kujua maradhi mliyonayo?? iweje iwe nongwa kwa mheshimiwa Raisi?? hebu geukeni bwana zingatieni mambo mengine haya mengine hayana maslahi kwa Taifa

Naelewa fika kuwa kutokana na kiapo changu cha udaktari na maadili yangu ya kazi siruhusiwi kutoa hadharani undani wa habari yoyote inayohusu mgonjwa ninayemtibu bila ridhaa yake.
Hata hivyo, kwa kuwa huyo ni Rais wa nchi, na suala la afya yake ni kwa maslahi ya taifa na umma wa Watanzania kwa jumla, na kwa kuwa yeye ameridhia kutolewa kwa habari za afya yake ili watu wajue ukweli na kuondoa hofu, nimeamua kufanya hivyo.
Rais amefanyiwa colonoscopy mwaka 2007, mnatuambia leo !!???
Kwa kawaida Rais anapofanyiwa kipimo kama hiki inabidi itangazwe promptly,
- kwanza kwa sababu ninavyoelewa mimi mgonjwa anakuwa sedated for a few hours, Rais anakuwa hana uwezo wa kuendesha nchi muda huo, sasa who was running the show during those few hours ?
- It also serves the purpose ya kuelimisha wananchi umuhimu wa wao pia kufanya vipimo hivi.
Lakini sisi kila kitu siri tuuu.....
mkuu umetoa mifano sawia..Mugabe anapigwa mikwara kila upande plus viungulia anavopewa na tshivangarai lakini yuko stable anadunda tu .JK engine inatakiwa kufanyiwa overhaul
We Kigogo Mugabe huwa anayumba sana kinachomsaidia huwa kuna jamaa kwa nyuma ambaye huwa hakawii kumpatia balance!
Kuhusu kiongozi wetu ni kweli anaumwa na ripoti ya daktari wake imesema hivyo mimi sioni kwanini watu wanashindwa kuelewa, tumeshaambiwa Mh.Rais aliangukaga zamani akiwa kijana ndo maana bado anasumbuliwa na uti wake wa mgongo!!!
Amani iwe kwenu nawakilisha.
Jamani mambo mengine ni kumdhalilisha Raisi wenu kwa kweli, nyie mmeshafafanuliwa na hiyo report ya madaktari sasa mnachoendelea kukitafuta ni nini?? Kwani mkiambiwa anasumbuliwa na maradhi haya then what next? mbona hamna shukurani jamani?? Raisi yupo vyema anafanya kazi zake kama kawaida hata kama ana maradhi mengine si jukumu lenu kujua, kwani hapa JF ni wangapi wenu mnamaradhi mfano:- BUSHA, KIFUA KIKUU, UMALAYA mbona hakuna anayewatafuta kujua maradhi mliyonayo?? iweje iwe nongwa kwa mheshimiwa Raisi?? hebu geukeni bwana zingatieni mambo mengine haya mengine hayana maslahi kwa Taifa
ovyooo.rais kifafa tupu mnataka tusiseme kisa wimbo wenu wa sisi tumeonewa sana toka uhuruHata mimi nashangaa sana..ila udadisi wangu unanipa kuwa something fishy is about to happen...ogopa sana wagalatia!
ovyooo.rais kifafa tupu mnataka tusiseme kisa wimbo wenu wa sisi tumeonewa sana toka uhuru
..bora wangedanganya, tena mapema, kwamba Raisi ana malaria.
..taarifa ni ndefu mno, I almost stopped reading it.
..mwishoni mwa taarifa ndiyo wanatueleza matatizo yanayomsumbua Raisi.
Acha kunyanyapaa wanajamvi ndugu, maelezo yafuatayo ya Daktari wa Rais yanajitosheleza kuwapa wanajamvi haki ya kuongelea swala hili:
teh teh kumbe mkuu wa kay disc za mgongo zimeachan kidogo hahaaaaaaa....na yeye aweke mtu kwa nyuma awe anamdaka akitaka kuanguka