Taarifa ya CCM ya maazimio ya kumkabidhi Magufuli Uenyekiti wa chama

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
16,515
28,487
5T7A9508.jpg
 
Hofu imetenda kwa wanaukawa baada ya Mwezi julai kukaribia kabisa pale ambapo Rais wa Sasa atapewa rasmi uenyekiti wa CCM, kama ulivyo utaratibu wa chama kupokezana kidemokrasia kabisa nafasi hiyo ya uenyekiti.

Ajabu hofu kuu ipo kwa wale ambao sio wanachama wa CCM kuliko wale ambao ni wanaCCM. Sababu kubwa inayotokana na hofu yao ni kuwa kupewa nafasi hiyo kwa magufuli kutaweka msumari wa mwisho kwa UKAWA, Kutokana na spidi aliyoionesha Magufuli katika Serikali kwa kusafisha makandokando yote.

Kwakua chama kinakwenda kuzaliwa upya, hoja za kukisema vibaya kwa wananchi zitakua hazipo kabisa kwa wana ukawa, ni dhahiri kabisa kua wana ukawa watakosa ya kusema na kubaki kulalamika kama wanavyofanya sasa.

CCM haiwezi kuogopa kumpa Magufuli CCM kwakua ndiyo iliyokubali na kumpendekeza yeye kugombea nafasi ya urais, kwahiyo ni sawa na sahihi wala hakuna shaka yoyote pale atakaposhika dhamana ya kukiongoza.

Hofu kuu ni kwa wanaukawa , kaeni tayari kwa maigizo kama kawaida yenu, baada ya kuishiwa hoja za kukisema chama.
 
1. Hivi kwanini anatumia nguvu kubwa sana kuwanyamazisha upinzani? Kama anajiamini kwanini asiwape uhuru kila mtu afanye yake?

2. Ukawa ndio wanataka Magu ndo awe mwenyekiti na sio mtu mwingine yeyote. Wanaamini hiko chama chenu akipewa mtu mwenye busara itakuwa ngumu sana kushindana nacho. Hivyo ni vyema apewe ili kife vizuri.

3. Akipewa itakuwa vizuri zaidi ili awafukuze wale wezi na majambazi ndani ya chama chenu, kwasababu wao ndio wanaowaweka nyie (CCM njaa) mjini. Wakifukuzwa wao mtakosa dirty cash ya kuwanunua watu.
 
Ndio maana tunasema wakati mwingne muwe mnachunga VINYWA VyENU.......mlisema CCM ITAKUFA LAST YEAR...LEO HII NDIO KWANZA INASTAWI KWA KASI BALAA mpka CDM wanakosa baya la kuisemea kwa WANANCHI zaidi ya kulilia na RAISI na si CCM tena...afu suala la CCM kufa akipewa MAGUFULI mnalitoa wapi na kwa vigezo vipi????Ngja nikukumbushe kitu ndani ya CCM kuna wazee wanaojitambua sana kupita maelezo ambao wanatoa mawazo yaliosahihi pale panapohitajika na si wanafiki ambao hawapo tayari kukiona chama kikpotea kamwe....MFANO MDOGO TU NI MWAKA ULIOPITA HAPO NDIO CCM ingepotea Lakini kwa sababu ndani ya CHAMA kuna ma think tank wa maana hilo halikuweza kutokea...AFu kingne CCM SI SACCOSS kwamba inaweza ikahodhiwa na MTU MMJA akawa na maamuzi ya kwake mwenyewe kama ambavyo ilivyo CDM inayomilikiwa na watu wawili walio na maamuzi ya mwisho msiowweza kuyapinga....HIVYO KUFA KWA CCM sahau KABSA na ondoa kichwani kwako.......TUNASUBIRI KUONA AJENDA YENU ITAKUWA NI NINI BAADA YA HILI maana kuhamisha magoli mpo vizuri kweli siku hizi
 
Mimi ni Ukawa naingoja siku hiyo kwa hamu sana ili awanyooshe miungu watu ndani ya chama labda angalau taifa litapata ahueni.
 
Hofu imetenda kwa wanaukawa baada ya Mwezi julai kukaribia kabisa pale ambapo Rais wa Sasa atapewa rasmi uenyekiti wa CCM, kama ulivyo utaratibu wa chama kupokezana kidemokrasia kabisa nafasi hiyo ya uenyekiti.

Ajabu hofu kuu ipo kwa wale ambao sio wanachama wa CCM kuliko wale ambao ni wanaCCM. Sababu kubwa inayotokana na hofu yao ni kuwa kupewa nafasi hiyo kwa magufuli kutaweka msumari wa mwisho kwa UKAWA, Kutokana na spidi aliyoionesha Magufuli katika Serikali kwa kusafisha makandokando yote.

Kwakua chama kinakwenda kuzaliwa upya, hoja za kukisema vibaya kwa wananchi zitakua hazipo kabisa kwa wana ukawa, ni dhahiri kabisa kua wana ukawa watakosa ya kusema na kubaki kulalamika kama wanavyofanya sasa.

CCM haiwezi kuogopa kumpa Magufuli CCM kwakua ndiyo iliyokubali na kumpendekeza yeye kugombea nafasi ya urais, kwahiyo ni sawa na sahihi wala hakuna shaka yoyote pale atakaposhika dhamana ya kukiongoza.

Hofu kuu ni kwa wanaukawa , kaeni tayari kwa maigizo kama kawaida yenu, baada ya kuishiwa hoja za kukisema chama.

Ngoja niweke akiba ya maneno.
 
Magufuli kuukwaa uenyekiti CCM ni kuokota dodo chini ya mti wa Bange, kwani kazi itakua rahisi, matamko yake siku zote huwa yanaipaisha CDM
 
Back
Top Bottom