Tumsaidie mtoto Omari Abubakar apate matibabu hospitali ya Bugando

Tumsaidie mtoto Omari Abubakar apate matibabu hospitali ya Bugando

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2016
Posts
10,516
Reaction score
13,270
2b818b9a6e9dff97808a4543002d950d.jpg


Huyu mtoto anaitwa Omari ana miaka 8 alishinda Mashindano Ya Qur’ani Tabora Sikonge wenzie wakachukia.

Kesho yake wakampitia kwenda Msikitini wakamtupa ndani ya moto wa pumba kaletwa Bugando tunamuhudumia hawana uwezo kaandikiwa sindano 25 kwa siku 7 tunaomba michango kila sindano alfu 25000 ukijaliwa tusaidie asante.

UKHTY ASHA SWEYA 0715060600.

J 5 CHUMBA NUMBER 5
ANAITWA OMARI ABUUBAKAR

MPAKA SASA YUPO HOSPITAL WAKINA MAMA WA KIKUNDI CHA UMMU SALAMA NDIO WAMEKWENDA KUMCHUKUA TOKA TABORA WAMEMLETA MWANZA
KIKUNDI CHA UMMU SALAMA KING PATIKANA MWANZA DARSA LAO LIPO MTAA MERA KILA JUMAMOSI MASOMO YANAPATKA PALE
UKHTY SHANI MGALAGAZA
0756064854

NI MMOJA KATI YA ICHO KIKUNDI
KAMA UPO MWANZA NENDA KAFANYE KUMFARIJI MTOTO HUYO KWA KUMTEMBELEA HOSPITAL NA KWA MWENYE UWEZO AMALIZIE TU HIZI SINDANO
WAPIGIENI SIM WAHUSIKA MSINIPIGIE MIMI

Chanzo cha hii taarifa ni kutoka kwenye page ya msanii:Sumalee
SUMA LEE (@hakunaga) • Instagram photos and videos

-Ndumilakuwili-
 
Ungesema kachomwa moto na wenzie ingetosha tu mkuu, mambo ya kushinda quaran n.k sidhani kama inaleta tija
Na kweli kabisa maana itaingiza na udini umo umo...
 
Mungu amponye tuu maana maumivu ya moto yanaumaaa asikuambie mtu
 
Habari imeandikwa kipolisi sana. Kuhususisha Koran na Kuchomwa kwake.

Muwe mnaangalia namna ya uandishi.
Hata kama in kweli. Wekeni uongo kidogo.

Professionals WA uandishi wanaelewa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kweli kabisa maana itaingiza na udini umo umo...
Mbaya sana mkuu!! Mbali na hiyo hata kama ni kutoa msaada tiyari unakuwa umeweka limitations zisizoweza kumletea muathirika tija
 
Hiyo "UKHTY" ni cheo?
Pole sana kwa huyo mtoto. Wamem'habili'. Sasa hao ni watoto. Wakubwa jee? Usiombe wapate nafasi lazima huitumia.
 
Mungu watoe watu kwenye giza wapeleke kwenye nuru

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom