karimu mtila mohamedi
Member
- Jan 4, 2016
- 42
- 10
Tanzania mambo ya jeshi ni deal, nchi nyingine watu wanapelekwa jeshini kwa lazima.
Mkuu leo nimepita karibu na ofisi za mkuu wa mkoa mmoja,nimewaona hao vijana wanaotafuta hizo nafasi,wanakaribiana na wale watu waliokuwepo kwenye mkutano wa ufunguzi wa kampeni za UKAWA jangwani mwaka jana.Kama Taifa bado tuna safari ndefu sana.Tatizo kwa wabongo hakuna uzazi wa mpango, vijana wako wengi kuliko uwezo wa kuwahudumia.
Tangazo halionekani naomba lieeke kwa maandishi