Alaaa kwa hio nikisema wewe ni ki gf changu, basi umeisha kuwa gf wangu...I love you my gf :biggrin:Afuatilie kwa taratibu kama kuna jambo atagundua, lisemwalo lipo! Hata kama ni majungu ayafanyie kazi manake yanamuhusu mkewe!
Asifanye papara kufatilia jambo wala asionyeshe kua kunamabadiliko yoyote,ajifanye zuzu kama mwanzo ukweli ataupata...
Inategemea na mwanamke, kama ulioa mwanamke huna imani naye kama ni wako tu, atacheza game na wengine.
Watu kama mimi huwa hatuna wasi wasi na wake zetu, na ni bora uishi bila kuwa na mke kuliko kuwa na wasi wasi na mke wako, huo ni ugonjwa na hauna dawa.
Rafiki yako ni mlevi na siku zote mlevi huwa hana akili ndo mana alioa kabla ya kutumia akili, na mwanamke anaye olewa na mlevi mara nyingi naye huwa hazimtoshi ndo mana ukaona ni easy kugawa uhondo...hao ndo wale type nataka kuonja :biggrin:
Na wasiwasi na weweAfuatilie kwa taratibu kama kuna jambo atagundua, lisemwalo lipo! Hata kama ni majungu ayafanyie kazi manake yanamuhusu mkewe!
Swali lako la kwanza; Sina hofu na mke wangu kwa sababu namuamini 100%...sio yeye tu yani namini family yake wote wametulia sana.We huna hofu na mkeo labda kwa nini au humpendi au kuna kitu umemtega au nini?Mi ninachotambua kuwa hofu ya kuibiwa huja kwa kitu chako kizuri tena chenye dhaman Je hofu hiyo umewezaje kuiua?