TAARIFA:.........Erickb2 nakupa MASAA 72...............


Naona mapema mmeshaanza kumpa kibano anayejiita MWENYEKITI KIVULI. Uongozi una wenyewe.Mtu anashindwa kuongoza ndoa yake eti analilia kuongoza Chit chat..
 
We eriki safari hii utarogwa nakuambia we jishauwe tu kuwatongozea watu wake, wenzio hawapendi hivyoo mbona Mzee yuko singo boi hadi leo hujamtafutia mke????



Nani aliyekuambia mimi ni single!? Umbea tu.
 
Last edited by a moderator:
blaza eliki (a.k.a Erickb52) usikubali mapinduzi kirahisi namna hiii..... nitakuunga mkono..... ila hakikisha Smile anarudi kwangu kwanza sawa?
 
Last edited by a moderator:
blaza eliki (a.k.a Erickb52) usikubali mapinduzi kirahisi namna hiii..... nitakuunga mkono..... ila hakikisha Smile anarudi kwangu kwanza sawa?

Hahahahaa Lucas nani ana ubavu wa kunipindua ? Huyo Smile asikuzingue kuna watoto wazuri humu km mwallu ambao ukiamua kujomuvuzisha utaenjoe zako.

Cc: Smile
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…