TAARIFA:.........Erickb2 nakupa MASAA 72...............

Achana nao wanatapatapa bure mwishoe watajikaanga wao wenyewe
jifanye unawapotezea kabisa kwani wao wanakulisha/wanakuvika/
wanakuweka huwe handsome kama ulivyo.
wanataka uongee tu ujiharibie weekend yako bure
Bora umekuja sister maana hawa jamaa wananizingua tu
 
Zubedayo bana,we badala ya kumpa pole Erickb52 kwa kupigwa kibuti na Chocs ( alimfumania na kachangu kona bar) wewe hoo eti kanifungisha ndoa ya mkeka.......unanchekesha ( sos FaizaFoxy)
Hahahaaaa...weee komaaa

Shakwambia sikutaki lakini bado tu unanisarandia...kesho sijui utasema nini...
The secretary njoo kipande hii umchukue mumeo
 
Last edited by a moderator:
Haaah,Futa kauli hii haraka sana la sivyo....
 
Umeuwaaa nakupa 10...
 
We eriki safari hii utarogwa nakuambia we jishauwe tu kuwatongozea watu wake, wenzio hawapendi hivyoo mbona Mzee yuko singo boi hadi leo hujamtafutia mke????
 
Last edited by a moderator:

Weka picha naweza nikakufikira siyo brah brah brah brah.
 
Last edited by a moderator:
Kwanza hata jina lako kuliandika hajui eti Erickb2
we zubedayo mchuzi anaitwa Erickb52
 
Last edited by a moderator:

Umenidharirisha sana...
 
Last edited by a moderator:

niombe radhi
 
Last edited by a moderator:

nikikuona moyo hufurahi kwa mahaba yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…