TAARIFA:.........Erickb2 nakupa MASAA 72...............

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Posts
4,873
Reaction score
1,221
Erickb2 wewe ni mwenyekiti mpindua ukiwa bado kwenye serikali yako ya mpito umeanza kujichukulia majukumu yasiyo kuhusu wala kukihusu kiti chako.

..................
........................
..........................Nichukue nafasi hiii kukupa masaa 72 uwe umeniomba radhi kwa kunitafutia mke bil RIDHAAA yangu na kushirikiana nae kufunga ndoa ya kienyeji ambayo mimi mhusika mbila kujua na mnilipe fidia kwa kunidharilisha mbele ya jamiii na kuonekana kana kwamba mimi ni domo zege na siwezi kuchagua vimwana wa kuziba nafasi ya mzazi mwezangu arabela.......​

...........fidia mnilipe taslimu sh 5 ya coin....
...........Mnilipe simu aina siemens c 45.......
...............mniletee na njiwa mjane
....

................... la sivyo.....
 
Erickb52. Kuja huku. Kiherehere kimekuponza.
 
Last edited by a moderator:
Zubedayo bana,we badala ya kumpa pole Erickb52 kwa kupigwa kibuti na Chocs ( alimfumania na kachangu kona bar) wewe hoo eti kanifungisha ndoa ya mkeka.......unanchekesha ( sos FaizaFoxy)
 
Last edited by a moderator:
nitonye hoyeeee....hoyeeee
Nitonye juuu juuu juu zaidi
Arabela una akili sana!
 
Last edited by a moderator:
zubedayo_mchuzi naomba ushushe jazba....!
Kwanza mi na wewe ni kitu kimoja...nimrkuchagulia mkr ambaye nimeona anakufaa...ni mzuri sana...ana kifanyio cha ukweli yan full kuenjoy..haba lake ni nooma Arabela hafui dafu...mtoto mstaarabu yan kazaliwa Tz ila kakulia London...mtoto figure namba nane...kiuno km nyigu...mguu wa bia...chuchu embe dodo bichi.....dah ningekuwa single ningemuoa mimi49 ila nimeona tusimkose ndo nikakukabidhi. Sasa inakuwaje shukrani yako iwe lawama?
Km hutaji basi mwache atakuwa small hausi wangu na Chocs
 
Last edited by a moderator:
kaka yangu mbona wanakuandama hao si bora uachie ngazi hicho kiti maana utafikiri wanakitaka wao
achana nao wewe njoo huhuku ufanye mambo yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…