Ngoja kwanza.
Kumbe leo hii kuna wanaume wanasikiliza taarabu kabisa? hii ni mpya kwangu.
Nilijuaga kinamama wa zamani ndio wanasikiliza taarabu na wale wazee wa zamani wanasikiliza rumba, msondo na bolingo.
The world is changing very fast, soon we'll drift out of son's orbit.