Taaluma kwa Viongozi

Najaribu kufikiri kuwa kuna namna Viongozi wa Kisiasa ni lazima nao wawe na taaluma ya Uongozi (Governance) kama wanavyo toa matamko kwa waandishi wa Habari
Kwa sasa taaluma ya wengi na inayowapa hizo nafasi kwa mazingira yetu na zaidi ya sasa uchawa Pekee unatosha,na kukubali kuletewa ithibati kama waliyoiasisi ya kuwadhibiti akina P,naamini kwa ni Bora kurejea mara Mia Yale ya mo29!
 
Najaribu kufikiri kuwa kuna namna Viongozi wa Kisiasa ni lazima nao wawe na taaluma ya Uongozi (Governance) kama wanavyo toa matamko kwa waandishi wa Habari
ccm imeficha failures wengi sana ambao wanajipenyeza hadi kuwa watala.
 
Wanaishia kuchanganya siasa na kazi za taaluma. Mfano uendeshaji wa taasisi nyeti kama Tanesco umegubikwa na siasa ukichunguza hasa. Wahuni watanikana kwa ili, ngoja nitoe mfano;Kipindi hiki kesi ya Lisu inavuma kila siku, sasa kwa kuwa vyombo vya habari hapa nchini vipo kapuni wanachojitahidi kudhibivi vyombo vya nje visisikike hususan maeneo ya kimkakati, wanakata umeme muda wao wa matangazo ukifika. Hasa kukiwa na kitu moto! siku hiyo.
Watakata kama dakika 10 hivi wanaleta bila taarifa. Nyuma kidigo huduma kwa wateja iliimarika kwa kuwatumia text meseji wateja wao eneo husika kuwaeleza kama kuna matengenezo . Ila sasa wamesitisha. Najua watajitetea kwa hili na hizo ndio siasa zenyewe. saa 3 kamili au kasaro jana tarehe Feb, 20 wamizima maeneo flan Dar es salaam muda ambao BBC ipo hewani. Shenzi hawuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…