young arrogant
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 267
- 440
Habari wanabodi
Tunashukuru sana kwa matengenezo makubwa ya Barabara ya Bamaga to Shekilango...
Hakika imekuwa ya kuvutia sana sana
Lakini kosa la kiufundi ni kuamua kufunga taa za kuongozea magari...!
Kwa siku mbili hizi tu, nimeona hizi taa zimekuwa zikiongeza foleni badala ya kupunguza..
Mfano inabidi kusubiri taa ikuruhusu hata kama upande wa pili hamna gari yoyote..
Pili ujazo au wingi wa magari si mkubwa kiasi kwamba kuwe na ulazima wa kufunga hizo taa..
Tatu, naona ni bora ule utaratibu wa wazammani wa kupita kwa kusubiriana ungerudishwa ili kuokoa muda maana barabara imekuwa ni pana kiasi kwamba hakuna kugombea njia. Kuliko walivyofanya kutukusanya kwenye Traffic Light...!
Nashauri taa zingebaki Mwanzo na Mwisho kww maana ya Bamaga na Shekilango..
Lakini kuweka Sinza Mugabe, Sinza Kijiweni , Sinza Makaburini, Sinza Mori (Bigbon) Sinza Mapambano na Afrikasana ni upotevu wa Pesa na kuwapotezea muda watumia wa barabara hiyo...!
Ahsante