Habari Wakuu..nina magari mawili Toyota Run x na Kulger.
Magari yote mawili yana changamoto ya kuwasha taa ya Engine nikitembea distance fulani..Yani sio kwamba inawaka muda uleule nikiwasha gari labda nikitembea kilometers kadhaa ndio unakuta inawaka.
Hii Run x ni ndani ya siku moja ndio huwa inawaka ila kulger inaweza kupita hata week haijawaka,ila siku usiyotarajia unashanga tu imewaka.
Nini inaweza kuwa shida kwa magari yote tafadhari.
Nawasilisha.