BRO SANTANA
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 1,845
- 2,249
Hivi ni lazima uchangie.Paki kama huna hela
Je ilikuwa inawaka kabla ya kubadilisha hiyo gasket? Kama na ndio ni jambo la kufuta error. Lakini hiyo nadhani ni bei ya kawaida kama una wasiwasi unaweza kumtafuta huyu Bwana. 0717228064.Habari wakuu.
Gari yangu ni toyata runx.
Ilipata shida ya kukosa nguvu na kuzima ukiacha tu kukanyaga mafuta nikaipeleka kwa wataalamu.
Wakabadilisha gasket kwenye engine mambo yakawa safi.
Lkn toka wametengeneza siku ileile nipo njiani narudi home taa ya engine ikawa inawaka.
Kwasababu muda ulikuwa umeenda nikasema nitawapigia simu.
Siku ya 2 nikampigia simu fundi akaniambia inabidi niipeleke wakachomeke kwenye machine wajue tatizo ni nini.
Lakini cha ajabu akaniambia niandae elfu 50 ya kipimo cha machine wakati tatizo wamesahabisha wao.
Mimi sijaipeleka mpaka leo maana naona huyu fundi alifanya kusudi ili nirudi tena ale hela yangu tena.
Msaada wakuu kama kuna ushauri niangalie kitu gani kabla sijapeleka kwa fundi mwingine.
Mkuu suburi wataalam wa engine za magari waje huku kama wapoHabari wakuu.
Gari yangu ni toyata runx.
Ilipata shida ya kukosa nguvu na kuzima ukiacha tu kukanyaga mafuta nikaipeleka kwa wataalamu.
Wakabadilisha gasket kwenye engine mambo yakawa safi.
Lkn toka wametengeneza siku ileile nipo njiani narudi home taa ya engine ikawa inawaka.
Kwasababu muda ulikuwa umeenda nikasema nitawapigia simu.
Siku ya 2 nikampigia simu fundi akaniambia inabidi niipeleke wakachomeke kwenye machine wajue tatizo ni nini.
Lakini cha ajabu akaniambia niandae elfu 50 ya kipimo cha machine wakati tatizo wamesahabisha wao.
Mimi sijaipeleka mpaka leo maana naona huyu fundi alifanya kusudi ili nirudi tena ale hela yangu tena.
Msaada wakuu kama kuna ushauri niangalie kitu gani kabla sijapeleka kwa fundi mwingine.
Emu simama hapohapo mkuu muite fundi aje kucheki oil utauwa injini brother!Habari wakuu.
Gari yangu ni toyata runx.
Ilipata shida ya kukosa nguvu na kuzima ukiacha tu kukanyaga mafuta nikaipeleka kwa wataalamu.
Wakabadilisha gasket kwenye engine mambo yakawa safi.
Lkn toka wametengeneza siku ileile nipo njiani narudi home taa ya engine ikawa inawaka.
Kwasababu muda ulikuwa umeenda nikasema nitawapigia simu.
Siku ya 2 nikampigia simu fundi akaniambia inabidi niipeleke wakachomeke kwenye machine wajue tatizo ni nini.
Lakini cha ajabu akaniambia niandae elfu 50 ya kipimo cha machine wakati tatizo wamesahabisha wao.
Mimi sijaipeleka mpaka leo maana naona huyu fundi alifanya kusudi ili nirudi tena ale hela yangu tena.
Msaada wakuu kama kuna ushauri niangalie kitu gani kabla sijapeleka kwa fundi mwingine.
Hebu mshauri afanye nini ili siku nyingine asaidie na mwenzakeJifunzeni kua mafundi japo kidogo issue zingine ni minor sana
Hili ndilo jibu sahihiKuna sababu kma tano hapo zinaweza kua kua main reason
1. Oxygen sensor inaweza kua imekufa unatakiwa ku replce na hii inaweza kua hasa kwako sense wali replace gasket
2. Gas cap itakua ime loose au ina damage ina fanya hewa ya nje kuchanganiknana na mafuta
3. Mass Air flow sensor inaweza kua ina shida either inapata signals za uongo kutokana na carbon kwenye cables au imeharibika kabisa
4. Angalia sparking plug cables zako kma zina damage au fireling order ipo vzur inawezekana baada ya ku replce gasket hawaku rudishia vzuri.
Hiii ya tano ni haiana nguvu sana ila ipo hivi
5. Replace Catalytic Converter sina ukakika kma gari yako ina hii kitu
Huyu naye hajui lolote anavizia tu wajuvi waweke mambo hadharani kwa hasira naye aponee hapo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hebu mshauri afanye nini ili siku nyingine asaidie na mwenzake
Wewe ndio bure kabisa, yani kucheck oil kwenye deep stick ndio uite fundi?Emu simama hapohapo mkuu muite fundi aje kucheki oil utauwa injini brother!
Kuna sababu kma tano hapo zinaweza kua kua main reason
1. Oxygen sensor inaweza kua imekufa unatakiwa ku replce na hii inaweza kua hasa kwako sense wali replace gasket
2. Gas cap itakua ime loose au ina damage ina fanya hewa ya nje kuchanganiknana na mafuta
3. Mass Air flow sensor inaweza kua ina shida either inapata signals za uongo kutokana na carbon kwenye cables au imeharibika kabisa
4. Angalia sparking plug cables zako kma zina damage au fireling order ipo vzur inawezekana baada ya ku replce gasket hawaku rudishia vzuri.
Hiii ya tano ni haiana nguvu sana ila ipo hivi
5. Replace Catalytic Converter sina ukakika kma gari yako ina hii kitu
Kuna sababu kma tano hapo zinaweza kua kua main reason
1. Oxygen sensor inaweza kua imekufa unatakiwa ku replce na hii inaweza kua hasa kwako sense wali replace gasket
2. Gas cap itakua ime loose au ina damage ina fanya hewa ya nje kuchanganiknana na mafuta
3. Mass Air flow sensor inaweza kua ina shida either inapata signals za uongo kutokana na carbon kwenye cables au imeharibika kabisa
4. Angalia sparking plug cables zako kma zina damage au fireling order ipo vzur inawezekana baada ya ku replce gasket hawaku rudishia vzuri.
Hiii ya tano ni haiana nguvu sana ila ipo hivi
5. Replace Catalytic Converter sina ukakika kma gari yako ina hii kitu
Mkuu japo sijui chochote lakini wewe ni fundi haswa.Kuna sababu kma tano hapo zinaweza kua kua main reason
1. Oxygen sensor inaweza kua imekufa unatakiwa ku replce na hii inaweza kua hasa kwako sense wali replace gasket
2. Gas cap itakua ime loose au ina damage ina fanya hewa ya nje kuchanganiknana na mafuta
3. Mass Air flow sensor inaweza kua ina shida either inapata signals za uongo kutokana na carbon kwenye cables au imeharibika kabisa
4. Angalia sparking plug cables zako kma zina damage au fireling order ipo vzur inawezekana baada ya ku replce gasket hawaku rudishia vzuri.
Hiii ya tano ni haiana nguvu sana ila ipo hivi
5. Replace Catalytic Converter sina ukakika kma gari yako ina hii kitu
Hivi unadhani Edo Kumwembe na Dr Riki wanajuwa kucheza mpira uwanjani?Mkuu japo sijui chochote lakini wewe ni fundi haswa.
Nashukuru kwa ushauri uliotukuka.
hunifahamu mkuu hii ni industry yangu naijua kuliko kitu chochote hapa dunianiHivi unadhani Edo Kumwembe na Dr Riki wanajuwa kucheza mpira uwanjani?
Really?Kama bado inawaka, fungua boneti chomoa terminal kwenye betri then zirudishie. Kutakua na lose connection somewhere.
Hahaha Cheti hichoo!!Hivi ni lazima uchangie.
Kama cheti chako ni feki hasira usilete huku wapelekee ndugu zako.
Mpumbavu nn