Taa Nesco katika picha

Columbus

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
2,002
Reaction score
652
Kutokana na mikasa inayolikuta taifa letu kwa sasa naomba kuwasilisha, hivi kweli mainjinia wa Taa Nesco wanaruhusu kitu hiki kufanyika? hivi hawa wanastahili kulipwa kwa kazi waliyokamilisha? mimi sio injinia naomba wenye proffessional zao wanijuze na wahusika warekebishe nchi nzima kabla hatujapatwa na mengine.
 

Attachments

  • Transformer.JPG
    29 KB · Views: 182

Serikali itarekebisha mpaka Wafe Watu kibao uleeeeeeeeeeeeeeee
 
Haya ni mabomu mengine lakini serikali hailioni hili.....
Ipo siku yatasambaratisha watu ndo serikali itaamka usingizini...
 
Haya ni mabomu mengine lakini serikali hailioni hili.....
Ipo siku yatasambaratisha watu ndo serikali itaamka usingizini...
Tuyasubili tu yalipuke kwa kuwa hiyo ndiyo kawaida yetu!!
 

....yani sijui mpaka majanga yatokee!!!
 
hii kweli ni hatari, hv wahusika wanakuwa wanawaza nini kichwani mwao wakiona hali hii?
 
hii kweli ni hatari, hv wahusika wanakuwa wanawaza nini kichwani mwao wakiona hali hii?

Nimepata jibu ya hili " Haya ni matokeo ya ajira za kupeana ndio maana tija imeshuka nchi hii, wasimamizi wanashindwa kuwawajibisha jamaa zao, watoto wa rafiki zao" jamani hili nalo tulizingatie katika marekebisho ya katiba .Ndugunaizesheni inatumaliza nchi hii.
 
Transfoma ya mitaani inatushinda kuiweka sawa. Watu wanataka umeme wa nyuklia. Tutasalia kweli au ya Hiroshima? Bongo hiyo, kila kitu kibongobongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…