Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,785
- 28,806
Ok hizi nafasi zishachukuliwa na akina "kamlete''Ndio mkuu
Ok hizi nafasi zishachukuliwa na akina "kamlete''
nacheka Kama mazuri vile Binafsi Niliwaza Sana hizi post nikasema hizi ngoja niache tu
Hizi kazi waSubiri majina tu ya watoto WA wajomba
Kama ilivyo kwa TBS
Alafu ili kuficha uozo wao huwa hawatoi majina hadharani (kwenye website yao) ili watu wasione majina ya wajomba zaonacheka Kama mazuri vile Binafsi Niliwaza Sana hizi post nikasema hizi ngoja niache tu
Hizi kazi waSubiri majina tu ya watoto WA wajomba
Kama ilivyo kwa TBS
Watu walikuwa wengi sana. Tatizo la ajira ni kubwa sanaYaan mpk Leo bado hajatoa tu shortlist,means mchakato sio mchezo
Achana na mambo ya unyonge Magufuli mwenyewe kaajiri ndugu zake hukoSehem kama hizi Magufuli angetupia jicho tu, tunaharibu pesa zetu sisi wanyonge kutuma application posta kwa njia ya Ems kumbe wana watu wao.
Haha majina unayakuta yanazunguka kwenye ma group tena yanakua sio big deal Maana wanakaa nayo hadi muache kufatiliaAlafu ili kuficha uozo wao huwa hawatoi majina hadharani (kwenye website yao) ili watu wasione majina ya wajomba zao
Kama tangazo hili nimeona mdau anasema waliweka ndani ya week 2 ukiona kimya ujue haupo kwenye list. Hii ni trick yao kubwa hawa wanaopeana hizi kazi,Haha majina unayakuta yanazunguka kwenye ma group tena yanakua sio big deal Maana wanakaa nayo hadi muache kufatilia
Hawakujua kuwa application zitakuwa nyingi? Sasa Mbona wakawaambia vijanaa kuwa ndan ya week 2Watu walikuwa wengi sana. Tatizo la ajira ni kubwa sana
Achana na mambo ya unyonge Magufuli mwenyewe kaajiri ndugu zake huko
Mwambie Mungu bahati ikudondokee tu au Upate Hizi taasisi ndogo ndogo upande
Majina yatakuja kutoka mwezi WA 11 Mwishoni hukoKama tangazo hili nimeona mdau anasema waliweka ndani ya week 2 ukiona kimya ujue haupo kwenye list. Hii ni trick yao kubwa hawa wanaopeana hizi kazi,
Nadhali hilo nalo ni tatizo, ila 390,000 isiwaumize watu vichwaHawakujua kuwa application zitakuwa nyingi? Sasa Mbona wakawaambia vijanaa kuwa ndan ya week 2
Watu ni wengi kwenye shortlist,all the best walioona majina yao
Ndio wanalipwa kuanzia laki5Sory hivi hawa internship nao wanalipiwa mshahara??
Watu ni wengi kwenye shortlist,all the best walioona majina yao