TA

mpndz

Member
Joined
Sep 28, 2011
Posts
81
Reaction score
46
WADAU, hivi ni kweli tezi dume halina tiba?
Tatizo limekuwa kubwa lkn wengi wa wanaume kama ilivyokawaida, mambo huwa kimya kimya hali mtu anaugulia

Shida ni kile kipimo cha πŸ–•
 
 

Attachments

  • Screenshot_20240824-025906.png
    210.3 KB · Views: 18
Mkuu mambo yamebadilika, sasa hivi ugonjwq huo unatibiwa kamw kawaida.

Kikwazo hapo ni oesa ya matibabu.

Kuna ndugu yangu mmoja mwezi March mwaka huu alisafiri kwenda Tabora.

Alipofika huko, ghafla choo ndogo ikafunga, akawa hoi kweli.

Baada ya vipimo ikagundulika kuwa alikuwa na tezi dume akaandikiwa upasuaji.

Alifanyiwa hapo hapo Kitete Tabora, akakaa siku nne wodini kisha siku ya tano akapewa ruhusa.

Nawasiliana naye alishapona kabisa kwa sasa anaendelea na shughuli zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…