T mobile Samsung galax s9 inasumbua.

Mimi sio fundi simu sina box...huyo fundi kama hana chimera au z3x nenda kwa fundi mwenye hizo box

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app

Ok Niko vijijini hakuna fundi mwingine zaidi ya huyu ila amesema akipata hiyo chimera anaweza fanya tu. Shida ndo sijui inapatikana wapi
 
Ok Niko vijijini hakuna fundi mwingine zaidi ya huyu ila amesema akipata hiyo chimera anaweza fanya tu. Shida ndo sijui inapatikana wapi

Naomba any fundi simu wa software anisaidie hiyo chimera.
 
Chimera ya nini tena. Hyo Samsung unapiga na Odin tu unatembea mbele. Huyu fundi wako hajui kuhusu Odin?
 
Amenambia bila backup ya imei inaweza ku collupse na isiwe ze kuwa simu tena
Odin haifuti imei number ukiflash official firmware. Hzo tools anazotafta ndio ata force firmware za model zingine. Odin yenyewe haikurihusu kuflash firmware zisizoingiliana. Ni 100% safe ukitumia official firmware
 
T
T mobile ni hovyo kwa hapa bongo ,hizo simu ni huko huko USA.
 
Odin haifuti imei number ukiflash official firmware. Hzo tools anazotafta ndio ata force firmware za model zingine. Odin yenyewe haikurihusu kuflash firmware zisizoingiliana. Ni 100% safe ukitumia official firmware
Mkuu, huyu jamaa hayupo tayari kujifunza.

Ana insist kutafuta fundi.

Nilishawahi ku deal na simu same model ya Korea, haikuwa na google services na zilikuwa hazikubali

Nililiga tutorial Sammobile na nikafanikiwa.

WaTz wengi wavivu wa kujifunza mambo, na ndo mtaji wa mafundi uchwara mtaani.
 
Kweli. Huyo fundi anyetafuta Chimera kwa jambo dogo tu la kutumia Odin atamletea matatzo bure. Huyo atampiga firmware ya model ambayo siyo na CSC ambayo siyo. Firmware zipo online bure kabisa na Odin ina flash vizuri kabisa hakuna haja ya kutafta tools zingine kma simu ni mali yako kihalali.
 
Au anaogopa kuna bloatware zitakuja halafu simu iwe na network lock, unatokeaga huo ujinga kama simu ulinunua refurbished, siku ukirudisha stock rom ndo unafurahi
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…