Yote tisa kuna lile njemba la west coast linaitwa Marion " Suge " Knight lile jamaa ndio halifai kabsa... He is the most feared man in the record industry huko states upto date. Wana muziki na music executives wengi wa hip hop states wanamuogopa snaa sio mtu wa kuzoeana nae...ukimzingua anakupoteza mazima. Ana mtandao na makundi ya hatari ya ujambazi huko LA, Carlifornia. Sema ni vile siku hzi amesanda....kipindi cha kina Tupac na Biggie Small jamaa alikua anatetemesha mbayaa alisha mning' iniza mtu juu ya ghorofa ndefu akitishia kumtupa endapo hato toa pesa flan kwa wasanii wake. Pia alimsaidia Dr. Dre kuachana na label ya NWA ya Eazy E kwa kumfuata Eazy E na majambazi wenye marungu na mapanga office kwake akitishia kumuaa yeye, familia yake yote na wazazi wake endapo hato sign mkataba wa kum release Dr. Dre from NWA. Jamaa aka sign mkataba bila shurti. Bongo hapa bado sijaona gangsta yeyote kwenye tasnia ya muziki walio pinda kwa viwango vile. Sijawahi sikia mwana muziki yeyote states akim diss Suge Knight kwenye nyimbo zao, wanamjua fika yule ni mtu wa aina gani and what he's capable of doing. Ukiskia watu kule wamepinda ujue wamepinda kweli kweli kukupoteza ni nje nje.
Eti watu wanasema suge yuko nyuma ya kifo cha pac.America kwenye swala la mobs wako vibaya.kila mtaa una don.
Suge night ni mshenz wa tabia bro kama umefatilia ripoti ya LAPD na ile ya mke wake wa zamani suge ndo alipanga mchongo mzima wa kumuua pac na alipokua jela alimtuma mke wake akampe hela mtu kwa ajil ya kumuua big... Mke wake hakujua hela ya nn mpaka pale alipomuona yule jamaa kakamatwa kwa kumuua big ndo akaelewa mchezo
Bro sio rumors ni kwel kabisa hata police aliekua anafanya investgatn ya ile kesi baada ya kustaafu alisema alitaka kuongea ukwel lakin viongoz wake wa juu walimkataza kwa kuhofia vurugu na mauaji zaid na pia anadai kuna watu walikula rushwa ndefu sana ku cover story
Kila kitu kina mwisho......one day yote yataanikwa tu na haya mauaji yatasuluhishwa. Suge is a very feared guy. Snoop dogg alisema wazi kwenye media that suge ni rafiki wa pac na yeye suge ndio kamuua tupac ilileta noma sanaa wakawa hawaivani. We unafkiri kwann Dre amajiweka mbali kabsa na suge...eminem alitaka kuingilia hlo beef dre akamkataza akamwambia asiingilie kitu asichokijua wala kukielewa. Dre kuondoka deathrow alipoteza pesa nyingi sanaa sababu ya yule jamaa na juzi juzi 2009 walikua wana case mahakamani kuhusiana na royalties ya album yake ya the chronic. Ila ipo siku ukweli wote utafumuka tu.
Fuatilia story ya maisha ya T.I ndo utajua huyu jamaa sio mtu wa kuchezeana nae kabisa mayweather outside the ring hamgusi ti... Kwa rekodi haraka haraka tuu 2009 TI alikamatwa na polisi na kukutwa na bunduki aina za shotgun 100 kwenye gari yake... Akatupwa jela.. Alipotoka tuu akakuta best. Friend wake kauliwa na kikund cha wahuni akawafata wale wahuni kwenye camp yao na kurushiana risasi sanaa na alikua peke yake.. Akapumzika uhun baada ya mama yake kutishia kujiua kama hatoacha hizo tabia.. Huyu jamaa kimtaa ni tatzo
mkuu unaongea utumbo gani? Yaan t.i ampige myweathet hlf hpa tunazungumzia ngumi siyo bunduki ....t.i ni msela mavi atauliwa na myweather asipoangalia huwez kufananisha mtu anayeshinda gym na mtu anayeshinda studio
mkuu unaongea utumbo gani? Yaan t.i ampige myweathet hlf hpa tunazungumzia ngumi siyo bunduki ....t.i ni msela mavi atauliwa na myweather asipoangalia huwez kufananisha mtu anayeshinda gym na mtu anayeshinda studio
Yote tisa kuna lile njemba la west coast linaitwa Marion " Suge " Knight lile jamaa ndio halifai kabsa... He is the most feared man in the record industry huko states upto date. Wana muziki na music executives wengi wa hip hop states wanamuogopa snaa sio mtu wa kuzoeana nae...ukimzingua anakupoteza mazima. Ana mtandao na makundi ya hatari ya ujambazi huko LA, Carlifornia. Sema ni vile siku hzi amesanda....kipindi cha kina Tupac na Biggie Small jamaa alikua anatetemesha mbayaa alisha mning' iniza mtu juu ya ghorofa ndefu akitishia kumtupa endapo hato toa pesa flan kwa wasanii wake. Pia alimsaidia Dr. Dre kuachana na label ya NWA ya Eazy E kwa kumfuata Eazy E na majambazi wenye marungu na mapanga office kwake akitishia kumuaa yeye, familia yake yote na wazazi wake endapo hato sign mkataba wa kum release Dr. Dre from NWA. Jamaa aka sign mkataba bila shurti. Bongo hapa bado sijaona gangsta yeyote kwenye tasnia ya muziki walio pinda kwa viwango vile. Sijawahi sikia mwana muziki yeyote states akim diss Suge Knight kwenye nyimbo zao, wanamjua fika yule ni mtu wa aina gani and what he's capable of doing. Ukiskia watu kule wamepinda ujue wamepinda kweli kweli kukupoteza ni nje nje.
Komeka mchezo wa mtaani hauna sheria labda jaribu fatilia maisha ya hawa watu wawil utaelewa kwa nn nakuambia t.i kwa mtaani sio mtu mzuri floyd hamuwez asilimia mia.. Unafikil why 50 cent kamwambia mayweather aachane na bifu na T.I coz sio mtu mzuri..!!? Kama unamaanisha ulingon sawa lakin huku uraiani bro clifford harris sio mtu wa kuwekeana nae bifu
tell em son!......man to man T.I hawezi kusimama na Mayweather na hizo ngoma za kutegemea gang za kitaa anazotaka kuleta T.I ni umama!..wanaume husimama one against onetatizo lako we jamaa uko in love na t.i hta hualisia huuoni t.i ampige myweather ? ?? Ur not serious hta km ni street fight t.i hatoweza huo usela mavi wa mtaa akiuleta kwa myeesther ataumia ....mywesther muda mwingi anautumia skies gym coz ye ni boxer so linapokuja dials la nani Yuko fit t.i ataachwa mbali sana na hilo ndyo litakaloamua nani mbabe
Nikusahihishe mkuu label ya Easy E a.k.a King of Compton ilikua inaitwa Ruthless Record na NWA(N.ig.g.a.z With Atitude) ni group member yao walikuwa Easy E km kiongozi, Dr Dre, Dj Yella, Ice Cube na mmoja jina lake limenitoka!
tatizo lako we jamaa uko in love na t.i hta hualisia huuoni t.i ampige myweather ? ?? Ur not serious hta km ni street fight t.i hatoweza huo usela mavi wa mtaa akiuleta kwa myeesther ataumia ....mywesther muda mwingi anautumia skiws gym coz ye ni boxer so linapokuja suala la nani Yuko fit t.i ataachwa mbali sana na hilo ndyo litakaloamua nani mbabe
tell em son!......man to man T.I hawezi kusimama na Mayweather na hizo ngoma za kutegemea gang za kitaa anazotaka kuleta T.I ni umama!..wanaume husimama one against one
Sikubaliani na wewe... mayweather boxing ni kazi yake na ndio inamuweka mjini hana ubabe wowote its obvious T.I hamuwezi mayweather kwa ngumi ulingoni but when it comes to street smart mayweather lazma anakalishwa chini anakua mpole. Its like comparing mchaga tajiri aliyeishia darasa la saba na professor wa chuo kikuu mwenye akili nyingi darasani but still huyo professor hana mafanikio makubwa ya kifedha na intelligence ya kuishi mtaani. Living and making it big from the ghetto streets of America or anywhere is no joke mkuu. We humuoni 50 Cent alivyo, utam compare 50 na Ja Rule au Rick Ross ??
U can't be serious mkuu unaleta utani mbele ya masihara ,mywesther ngumi professional yake so Yuko training kila siku technically ngumi unazosema wewe za mtaa km hauko fit lazima ule mchanga tu t.i kila cku analewa ,anagegeda ,anakesha klabu sometimes anakesha studio bado na bangi anavuta kwa lifestyle hyo huo uwezo wa kumchapa myweather ataupatia wapi
tatizo lako we jamaa uko in love na t.i hta hualisia huuoni t.i ampige myweather ? ?? Ur not serious hta km ni street fight t.i hatoweza huo usela mavi wa mtaa akiuleta kwa myeesther ataumia ....mywesther muda mwingi anautumia skiws gym coz ye ni boxer so linapokuja suala la nani Yuko fit t.i ataachwa mbali sana na hilo ndyo litakaloamua nani mbabe
U can't be serious mkuu unaleta utani mbele ya masihara ,mywesther ngumi professional yake so Yuko training kila siku technically ngumi unazosema wewe za mtaa km hauko fit lazima ule mchanga tu t.i kila cku analewa ,anagegeda ,anakesha klabu sometimes anakesha studio bado na bangi anavuta kwa lifestyle hyo huo uwezo wa kumchapa myweather ataupatia wapi
chief street fight sio ngumi za mtu mmoja sio ngumi za kusema tunaanza kupigana street fight zinajumuisha kurushiana njugu na uhuni mwengine unaofanana na huo, ndio maana wadau wengi wanakwambia TI kwenye hizi street fight ni nyoko