Mkuu, tafadhali nakili kwa umakini Model No ya hiyo system yako ui-post hapa niangalie jinsi ya kukusaidia. Pia taja idadi ya miguu ya IC na fundi aangalie miguu ya VCC au VDD na Ground iko kwenye pin zipi za IC.
alpha1
Mkuu kwani haiwezekan kufanya maujanja na kuifungia power supply nyingine??
Kama fundi ni makini anaweza jaribu ic nyingine na ikapiga kazi kama kawa ila hapo cha msingi ic itakayo iweka hapo lazima aitafute kwenye power supply za vifaa vingine screper aangalie miguu ya ic ilivyo ungwa ungwa na atafute circuit nyingine na kuitizama hapo inabidi acheki ni miguu mingapi imeungwa ground na mingapi imeungwa positive kisha fananisha ile ic mbovu na hiyo ya kwenye circuit.
Mkuu kwan unapatikana wapi??
Mkuu, tafadhali nakili kwa umakini Model No ya hiyo system yako ui-post hapa niangalie jinsi ya kukusaidia. Pia taja idadi ya miguu ya IC na fundi aangalie miguu ya VCC au VDD na Ground iko kwenye pin zipi za IC.
alpha1
Nina Daewoo International HDT-002 HOME THEATER SYSTEM, hivi karibuni imeungua kwa sababu ya mvua iliyoambatana na radi. Japokuwa ilikuwa off lakin ilikuwa connected kwenye main na huenda ndio maana iliungua. Nilipeleka kwa fundi akabaini transistor moja AMS 1085CT 0249 iliyoko kwenye power supply na IC moja ilipasuka yakabaki baadhi ya maandishi ambayo ni CD405...Tatizo ni kutopatikana kwa Transistor AMS 1085CT 0249 hapa Mz pamoja na IC kutojulikana baadhi ya no.za IC. Msaada plz maana fundi kasema mpaka vipatikane hvyo ui2.
Mkuu napatikana Mwanza mjini hapa na power supply nyingine huenda ikawa ngumu kuipata maana ni model ya kizamani sana. Hata hvyo ic iliyoungua haiko kwenye sakiti ya power supply ila ipo kwenye sakiti ya sound amp ndani ya redio ile ile. Nafanya utaratibu niipige picha niwarushie wakuu.
nitafanya hvyo mkuu,maana sina raha kabisa nakosa news.
Wakuu samahani taratibu tutaelewana,hii system in built in amp kwa mujibu wa maelezo ya fundi ambaya IC yake yenye miguu 16(8 kila upande) ndiyo iliyopasuka. Inaonesha hana maujanja ya kupima VCC au VDD ama ground kitu ambacho kinaleta ugumu kidogo ila lisiwape shida wakuu nahamia kwa mwenye maujanja zaidi.
nitafanya hvyo mkuu,maana sina raha kabisa nakosa news.