System ya udom mbona inazingua

Hivi mbona hamna option ya kulipa fedha kwa m-pesa wakati katika maelekezo yao kuna m-pesa na crdb pia, ila unapoingia katika mfumo kuna tigo-pesa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IT wa UDOM jitahidini kuweka option ya m-pesa ya kulipia application fee,pia japo mmeweka ya CRDB lakini hafanyi kazi hivyo rekebisheni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…