System ya kuweka Kumbukumbu za Biashara

Masokotz

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
3,965
Reaction score
6,737
Ni system ya kipekee ambayo ni rahisi kutumia na inayokuwezesha kujua maendeleo ya Biashara yako.Ina uwezo wa kufanya yafuatayo:
  1. Kuhifadhi kumbukumbu za bidhaa zote zilizopo katika biashara yako,ikiwa ni pamoja na idadi yake,bei ya kununulia na bei ya kuuzia
  2. Kuhiadhi kumbukumbuza wateja wako pamoja na madeni ambayo hayajalipwa
  3. Kuhifadhi kumbukumbu za mauzo na manunuzi ya bidhaa zako pamoja na mapato na matumizi
  4. Inakuwezesha kupata taarifa ya mapato na matumizi,taarifa ya ukwasi na taarifa mbalimbali za biashara yako kwa muda wowote
Mfumo huu nirahisi kutumia sana na ni wa kipekee na unafaa kwa maduka ya aina mbalimbali mbali hasa maduka y vifaa vya ujenzi,spare za magari,maduka ya dawa,Viwanda Vidogo,Consultants na Biashara nyinginezo.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa email:masokotz@yahoo.com Karibu sana.
 
System yenyewe tsh ngapi mkuu, na inadumu kwa muda gani? Au kila wakat unarestore Tena? Vipi iki collapse nafanyaje kuipata, au lazima nikutafute Tena kuj kuirecicle?
 
System yenyewe tsh ngapi mkuu, na inadumu kwa muda gani? Au kila wakat unarestore Tena? Vipi iki collapse nafanyaje kuipata, au lazima nikutafute Tena kuj kuirecicle?
Mkuu system yoyote lazima iwe na support ila ni rahisi kutumia na unaweza kuisimamia mwenyewe.Kuhusu kusumbua haisumbui kwa sababu ina full support ya developers.karibu sana mkuu
 
Mkuu system yoyote lazima iwe na support ila ni rahisi kutumia na unaweza kuisimamia mwenyewe.Kuhusu kusumbua haisumbui kwa sababu ina full support ya developers.karibu sana mkuu
Mbona maswali yake hujajibu mengine mkuu umezunguka zunguka tu
 
Bei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…