jofujulius09
Senior Member
- Mar 9, 2017
- 105
- 50
- Thread starter
-
- #21
Ndio nimesha installUmefanya installation ya database iliyokuja nayo mkuu na umehakikisha hiyo database ina table yenye hiyo username na password!?
Pia ni vizuri ungetuletea na ujumbe unasomekaje baada ya kugoma
Nimechange lakin bdo mchezo ni uleule broAkiingia kwenye database yake aangalie php my admin kuna sehem ya kuchange user password
Ukiziona hizo username na password
mfano:
$username=$_POST["UserName"];
$password=$_POST["Password"];
$con = mysql_connect("localhost","root","");
Hapo inamaanisha Username ni "root" na password ni blank yaani hakuna password. jaribu kuingina na hizo details utakazozipata kwenye file hilo kwenye login page yako.
ikishindikana fanya hivi:
Kwenye hiyo hiyo ACTION FILE angalia ni table gani inayokuwa SELECTED kwaajili ya kuangalia USERS and PASSWORDS halafu ukishaijua hiyo table ya USERS
Ingia kwenye XAMPP > table ya Privileges (Users) angalia users waliopo hapo na unaweza ku Add jina lako na password yako.
angalia hapa: Hapo kwenye rangi nyekundu hiyo ndio jina la TABLE yenye USERS
$sql="SELECT * FROM user where UserName='$username' and Password='$password'";
$result = mysql_query($sql, $link) or exit('$sql failed: '.mysql_error());
$num_rows = mysql_num_rows($result);
if($num_rows==0){
header("Location: error.htm");
}
else
{
header("Location: logged.htm");
exit;
}
mysql_close($link);
Kak kama kuna uwezekano tufany connection ya teamviwer ili uweze kunisaidiaUkiziona hizo username na password
mfano:
$username=$_POST["UserName"];
$password=$_POST["Password"];
$con = mysql_connect("localhost","root","");
Hapo inamaanisha Username ni "root" na password ni blank yaani hakuna password. jaribu kuingina na hizo details utakazozipata kwenye file hilo kwenye login page yako.
ikishindikana fanya hivi:
Kwenye hiyo hiyo ACTION FILE angalia ni table gani inayokuwa SELECTED kwaajili ya kuangalia USERS and PASSWORDS halafu ukishaijua hiyo table ya USERS
Ingia kwenye XAMPP > table ya Privileges (Users) angalia users waliopo hapo na unaweza ku Add jina lako na password yako.
angalia hapa: Hapo kwenye rangi nyekundu hiyo ndio jina la TABLE yenye USERS
$sql="SELECT * FROM user where UserName='$username' and Password='$password'";
$result = mysql_query($sql, $link) or exit('$sql failed: '.mysql_error());
$num_rows = mysql_num_rows($result);
if($num_rows==0){
header("Location: error.htm");
}
else
{
header("Location: logged.htm");
exit;
}
mysql_close($link);
Kama hutajali unaweza kunipa hilo folder la hiyo system au link ulipo download nilifanyie kaziKak kama kuna uwezekano tufany connection ya teamviwer ili uweze kunisaidia
Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
Ok ntumie email yako nikurushie mkuuKama hutajali unaweza kunipa hilo folder la hiyo system au link ulipo download nilifanyie kazi
Ukiziona hizo username na password
mfano:
$username=$_POST["UserName"];
$password=$_POST["Password"];
$con = mysql_connect("localhost","root","");
Hapo inamaanisha Username ni "root" na password ni blank yaani hakuna password. jaribu kuingina na hizo details utakazozipata kwenye file hilo kwenye login page yako.
ikishindikana fanya hivi:
Kwenye hiyo hiyo ACTION FILE angalia ni table gani inayokuwa SELECTED kwaajili ya kuangalia USERS and PASSWORDS halafu ukishaijua hiyo table ya USERS
Ingia kwenye XAMPP > table ya Privileges (Users) angalia users waliopo hapo na unaweza ku Add jina lako na password yako.
angalia hapa: Hapo kwenye rangi nyekundu hiyo ndio jina la TABLE yenye USERS
$sql="SELECT * FROM user where UserName='$username' and Password='$password'";
$result = mysql_query($sql, $link) or exit('$sql failed: '.mysql_error());
$num_rows = mysql_num_rows($result);
if($num_rows==0){
header("Location: error.htm");
}
else
{
header("Location: logged.htm");
exit;
}
mysql_close($link);
Mkuu kwenye hiyo database umehakikisha kuna hiyo username na password!? Na kama username na password zipo kwenye database hebu angalia kwenye database kama password ipo encrypted au la, kisha angalia kwenye code kama variable ya POST nayo ipo encryptedInaandika ivo
username or password not registered contact your administration
Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
Nawezaje kujua kam password zpo encripted mkuuMkuu kwenye hiyo database umehakikisha kuna hiyo username na password!? Na kama username na password zipo kwenye database hebu angalia kwenye database kama password ipo encrypted au la, kisha angalia kwenye code kama variable ya POST nayo ipo encrypted
Nshakutumia mkuuuu!!