jofujulius09
Senior Member
- Mar 9, 2017
- 105
- 50
Ni system ya aina gani?Hbr yenu wakuuu!!
Kam kichwa cha hbr kinavyojieleza apo.
Kuna system nimedownload apa naingiza username and password nilizozikuta kweny link ambako nmedownload but zinagom.
Kwahvo nilikuwa naombe. Msaada hakuna njia ingine naweza tumia niweze ku login as admin wazee??
Room reservation System mkuuNi system ya aina gani?
Room reservation systemSystem gani??
Imetengenezwa kwa language gani ya programming?Room reservation System mkuu
Imetumika css kidg html na java kwa wingiImetengenezwa kwa language gani ya programming?
Hiyo ni web based na lazima imetumika php hapo na itakuwa inatumia MySQL database.Imetumika css kidg html na java kwa wingi
CSS nayo ni programming language au script languageImetumika css kidg html na java kwa wingi
Database server ni xampHiyo ni web based na lazima imetumika php hapo na itakuwa inatumia MySQL database.
Umetumia Database server ipi? Na umeangalia kwenye login form , action file ni ipi . hapo ndipo unaweza kuona Variable za database connection. Unaweza kuweka zile za default " LOCALHOST", "ROOT"
Script language typing errorCSS nayo ni programming language au script language
Database server ni xamp
maana yake hyo system ni PHP mze
Action file cjaelewa apo ndio nin broHiyo ni web based na lazima imetumika php hapo na itakuwa inatumia MySQL database.
Umetumia Database server ipi? Na umeangalia kwenye login form , action file ni ipi . hapo ndipo unaweza kuona Variable za database connection. Unaweza kuweka zile za default " LOCALHOST", "ROOT"
Chukua hiyo file/page ya kuLogin, ifungue na dreamweaver ( ili line zijipange vizuri usifungue kwa notepad) .Action file cjaelewa apo ndio nin bro
Aaaah ok nimekusoma baada ya hapo nafanya nn?Chukua hiyo file/page ya kuLogin, ifungue na dreamweaver ( ili line zijipange vizuri usifungue kwa notepad) .
Ukishafungua Search hiyo FORM ya kuLogin. Mwanzoni kabisa kwenye form utaona maneno kama
<form id="form name" action="actionfile.php"/>
Sasa utaingia kwenye zile files za hiyo system na kuitafuta hiyo actionfile.php
Ukifanikiwa kuipata utaifungua pia kwa dreamweaver na kutafuta variables za connectio
Mf. MySql_Connect (databasename, username,password)
Akiingia kwenye database yake aangalie php my admin kuna sehem ya kuchange user passwordDatabase server ni xamp
maana yake hyo system ni PHP mze
Umefanya installation ya database iliyokuja nayo mkuu na umehakikisha hiyo database ina table yenye hiyo username na password!?Imetumika css kidg html na java kwa wingi
Pia ni vizuri ungetuletea na ujumbe unasomekaje baada ya kugomaHbr yenu wakuuu!!
Kam kichwa cha hbr kinavyojieleza apo.
Kuna system nimedownload apa naingiza username and password nilizozikuta kweny link ambako nmedownload but zinagom.
Kwahvo nilikuwa naombe. Msaada hakuna njia ingine naweza tumia niweze ku login as admin wazee??
Inaniandikia ivoPia ni vizuri ungetuletea na ujumbe unasomekaje baada ya kugoma
Inaandika ivo