nahitaji twin core 2.5mm roll ya 100m na bei please..nipo darView attachment 401604zipo zanzibar bei 170,000, kabila British general, pia zipo mk na hager.. 12 ways na 10 ways. Wahi haraka
Kwa sasa sina, nina consumer units na switch cooker, socket switch zipo njiani, mara nyingi mzigo wangu huwa nao. Week tu, especially switch za aina zote huuza kwa haraka mnoo,nahitaji twin core 2.5mm roll ya 100m na bei please..nipo dar