englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,211
MR DUDE: Baby nipo Kilimanjaro Kempiski kwenye Swimming pool naogelea kidogo,nitakutafuta baadae.
SUZANA : Waooh Sweetie, hebu nitumie picha au Video kwa Watsupp au Fb nione unavyokula bata Laazizi wangu,nimetamani kweli kuwa hapo.
MR DUDE: Ngoja nitakutumia baadae kidogo,naona kuna wazungu wananishangaa kweli naona wamenogewa na jinsi ninavyopiga mbizi kali kama Michael Phelps.
SUZANA : Waoooh! That is my Boy!, cant wait hugging U!!!